Ndio hivyo acha na sie tuwaseme tu maana nyie kila siku wanawake mpo hivii oooh vileee,,,mpo magogoo wakati mtu unamlalia una kilo 180 atakataje mauno,,,hebu mwachie nafasi kama uno halijazungushwa kama feni,hatubaguii laki unene sio mzuriii halaf jua wanaume ni kama sufuria la moto lazima liwah kupoa lakin wanawake ni kama chungu kilichotoka jikoni kupoa usubiri sana ,,sasa ukute mwanaume tumbo hilo hizo pumzi anazitoa wapiii,,
Sie tumekusikia vitambi tutavitoaa,na mauno tutaongeza ila na nyie unene na mavitambi hatuyatakiiiii