Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

Kina baba wanene na tabia za kutongoza vibinti vidogo

Wanene huwa wananoga wakiwa na pesa na katika idara ya kuhonga tu

I can't imagine myself kitandani na mwanaume with a fat ass mixer kitambi
Kwanza sijawahi na siwezi kuwahi

Sema uzuri wa haya mafat ass huwa hawapendi kufuck sana kama hawa vimbao mbao
Kama nakuona na ka mwili kako kadogo unafunikwa na litumboz la mtu kama le mutuz [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilishakuwa nayo kama mawili

Wao ni kula bata,unapewa pesa unaondoka

Kesho yake hivyo hivyo. . .akiomba kufuck ukimpiga chenga mbili tatu mixer busu,kupet pet basi kasharidhika
Hahahahahahahha
 
check jamaa anatembea kwa Madaha,hizi ni tamaduni zetu huoi kama huna kitambi ha ha ha ha ha ha ha ha
bodi-tribe-fat-men-running-during-kael-ceremony-hana-mursi-omo-valley-DC3C5Y.jpg
article-2480870-1919AAAE00000578-221_964x682.jpg
 
Wanene huwa wananoga wakiwa na pesa na katika idara ya kuhonga tu

I can't imagine myself kitandani na mwanaume with a fat ass mixer kitambi
Kwanza sijawahi na siwezi kuwahi

Sema uzuri wa haya mafat ass huwa hawapendi kufuck sana kama hawa vimbao mbao
Vimbao mbao oyeeeeeeeeeeeeeeh
 
Wadada wanachonga wakati hata wao matumbo wanayo. Hivi mnadhani na sie tunayapenda hayo matumbo yenu kama mabaamed😛😛? Huwezi kutembea hatua mia bila kukutana na mwanamke ana kiriba tumbo, tena wengine wala hawajazaa-ni viporo, bia na dudu tu vinawatunisha matumbo. Sio ustaarabu kubaguana kwa muonekano na sura.

Uzuri Mungu hakupi vyote maana wenye midomo binu mngeua wilaya nzima kwa kauli zetu kali kuliko pilipili. Mwenye chura, ana miguu kama toothpick au sura kama Dr.Remmy. Mwenye sura nzuri, tabia chafu. Mwenye shepu na sura, kitandani hajiwezi-kiuno kigumu kama kimetengenezwa kwa zege(tena reinforced concrete). Mwingine ni mrembo lakini mweusi kama Baraka Da Prince. Tuwe na staha, wanawake mna miaka 10 tu ya kuringia muonekano wenu, miaka mingine tunavumiliana tu.
 
Back
Top Bottom