johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
We mtoto wewe....... una mzani wa kupimia hizo ndunde?Woyeeeeee!
Tena wengi wao ndio wana huge dick
We mtoto wewe....... una mzani wa kupimia hizo ndunde?Woyeeeeee!
Tena wengi wao ndio wana huge dick
Huge dick inaendana vizuri na kina kirefu cha wadada wembamba!!Woyeeeeee!
Tena wengi wao ndio wana huge dick
inaonekana mtoa mada ni chupi mkononi yani fimbo kila sekundeUnakuta mbaba mnene,,kitambi hichoo yaan mnene jamanii halaf anatongoza vibinti vidogo, we baba unavipeleka wapi hivyo vibinti,,,mfano hata mimi sipendi wababa /wakaka wanene ,,mtu tumbo hiloo,paja nene,halaf anakung'ang'ania eti anakupenda jamani jamani sipendi kuwa na mahusiano na wanaume wanene,wenye vitambii kwanza hawavutiii kabisaa,,mwanaume aliejaa kawaida ndio anapendeza yaan amejaa kimazoezi au kajaa tu,,,sasa mbaba huyu na tumbo lake sijui hata kitandani mnalalaje,napatia picha utakavyolaliwa na hilo tumbo hapo utachoka nyang'anyang'nya,,,
Pia wapo nadhani wadada wanaopenda haoa wakaka au wababa wanene,maana nahisi ladha tunatofautiana,sie wengine tunapenda wakaka wa kawaida tu wenye miili ya mazoezi,kuna huyo mbaba huwa tunakutana sehemu ya kula jamani atatuma watu waniitee,,unajua saa ingine unene unaweza fanya uitwe mbaba,,akaniandikia kikaratasi kuwa ananipenda na anataka kuwa namii yaan niliudhikaa ,,,nikaanza kuwaza hivi huyuu mi nampeleka wapi sasa,,kwanza nahisi watu wanene kama hawa kitandani ni magoigoi tu na dudu yote imemezwa na tumbo,halaf kama hawakoromi hawaa ni bahatii aisee,,,sie tushazoea watu hawana vitambi akikukamata ukitoka hapo hamu zote kwishaa
Mtanisamehe kama na humu wanene mpo inabidi mpungue jamanii unene ni janga mtakosa watoto wazurii wazurii
Kama una povu tema nna nguo chafu mie ntafulia
Ndio nishasema!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji23] ngoja aje atoe povu humu
limekupata safiHili ndo jiwe,,,,
Mkuu hako kanaweza kutema mzima mapema tu!!We mtoto wewe....... una mzani wa kupimia hizo ndunde?
BravoWadada wanachonga wakati hata wao matumbo wanayo. Hivi mnadhani na sie tunayapenda hayo matumbo yenu kama mabaamed😛😛? Huwezi kutembea hatua mia bila kukutana na mwanamke ana kiriba tumbo, tena wengine wala hawajazaa-ni viporo, bia na dudu tu vinawatunisha matumbo. Sio ustaarabu kubaguana kwa muonekano na sura.
Uzuri Mungu hakupi vyote maana wenye midomo binu mngeua wilaya nzima kwa kauli zetu kali kuliko pilipili. Mwenye chura, ana miguu kama toothpick au sura kama Dr.Remmy. Mwenye sura nzuri, tabia chafu. Mwenye shepu na sura, kitandani hajiwezi-kiuno kigumu kama kimetengenezwa kwa zege(tena reinforced concrete). Mwingine ni mrembo lakini mweusi kama Baraka Da Prince. Tuwe na staha, wanawake mna miaka 10 tu ya kuringia muonekano wenu, miaka mingine tunavumiliana tu.
Yote si umetaka ww hayo! anyway mwenzio le akili kubwa anajazaga vidosho kama ww ndani ya noah, nashangaa ww hutaki type hizoHahaahahah nilijua asipotajwa le akilii nene hapaa sijuui
Sina hamu,,,,Nilishakuwa nayo kama mawili
Wao ni kula bata,unapewa pesa unaondoka
Kesho yake hivyo hivyo. . .akiomba kufuck ukimpiga chenga mbili tatu mixer busu,kupet pet basi kasharidhika
Wewe mbona husomeki mkuu, unajichanganya tu, Mara mafat hujawahi Kuwa nao, ooh ulikua na wawili tu. Matangazo haya yamebuma.. Anza tenaNilishakuwa nayo kama mawili
Wao ni kula bata,unapewa pesa unaondoka
Kesho yake hivyo hivyo. . .akiomba kufuck ukimpiga chenga mbili tatu mixer busu,kupet pet basi kasharidhika
[emoji55] [emoji55]Na ndio unazopenda
I've got eyesWe mtoto wewe....... una mzani wa kupimia hizo ndunde?
Ushasahau kama anaumwa? ni hivyo ana pesa tu lakini angekuwa ameshasahulika, ana kitambi lakini....Mzee mengi mnene??au unamuangalia vibaya
Sio unakula pesa za watu tu unaweza kuitolea jasho?sema me siangalii umbo naangalia pesa
Ndio hivyo acha na sie tuwaseme tu maana nyie kila siku wanawake mpo hivii oooh vileee,,,mpo magogoo wakati mtu unamlalia una kilo 180 atakataje mauno,,,hebu mwachie nafasi kama uno halijazungushwa kama feni,hatubaguii laki unene sio mzuriii halaf jua wanaume ni kama sufuria la moto lazima liwah kupoa lakin wanawake ni kama chungu kilichotoka jikoni kupoa usubiri sana ,,sasa ukute mwanaume tumbo hilo hizo pumzi anazitoa wapiii,,Wadada wanachonga wakati hata wao matumbo wanayo. Hivi mnadhani na sie tunayapenda hayo matumbo yenu kama mabaamed😛😛? Huwezi kutembea hatua mia bila kukutana na mwanamke ana kiriba tumbo, tena wengine wala hawajazaa-ni viporo, bia na dudu tu vinawatunisha matumbo. Sio ustaarabu kubaguana kwa muonekano na sura.
Uzuri Mungu hakupi vyote maana wenye midomo binu mngeua wilaya nzima kwa kauli zetu kali kuliko pilipili. Mwenye chura, ana miguu kama toothpick au sura kama Dr.Remmy. Mwenye sura nzuri, tabia chafu. Mwenye shepu na sura, kitandani hajiwezi-kiuno kigumu kama kimetengenezwa kwa zege(tena reinforced concrete). Mwingine ni mrembo lakini mweusi kama Baraka Da Prince. Tuwe na staha, wanawake mna miaka 10 tu ya kuringia muonekano wenu, miaka mingine tunavumiliana tu.
wewe utakua single ngoja uolewe ndio uone huyo kimodo wako atakavyo toka kitambi na wewe bonge la kilipa tumbo mission impossibleMmmhhhh hapana aisee
Mamá wa shughuri kabxa weye yaonekana!!Woyeeeeee!
Tena wengi wao ndio wana huge dick