Kaka huwezi kupost comment mpaka uqoute uzi wotee?ukiweza futa basii halaf acha comment yako basiSi useme tu umetongozwa na kitambi meneja[emoji124] [emoji124]
Haya tumekusikia.
Hii ndio tabia ya ajabu, aje bonge mlie
Aje baunsa mumuulize kwani anakuja kubeba mawe? Aje ki mbao mbau mumuulize utampeleka wapi mtu mwenyewe anaenea kwenye pochi,
Hivi nyie viumbe mmeumbwaje lakini????
Elewa paragraph ya kwanza na ya mwisho then utaelewa ya katiMbona hueleweki we nae??
Manzo umesema wananoga katika idara ya kuhonga
Pili umesema hujawahi
Tuelewe lipi
HapanaKumbe una xperience na size zote
We umeongea vizuri mkuu, tatizo la watu ambao wamefanya mapenzi ni kitega uchumi kwao utawajua tu!Mungu atakayekupa utakwenda naye tu haijalishi nene au lah
Umejuaje ss kama mafat hayapendi kufak sn?!Hapana
Size ya mafat sijawahi kuiona live
Mnatembea mkitafute waume....sasa hao vijana wa mazoezi unao wangap?!Hujui mme mwema unakutana nae popotee[emoji6]
Safi sana missmfanye mazoezi na pesa mtafute khaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana
Size ya mafat sijawahi kuiona live
sema me siangalii umbo naangalia pesaSafi sana miss
Nilishakuwa nayo kama mawiliUmejuaje ss kama mafat hayapendi kufak sn?!