haloo
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 569
- 217
Kichwaaaa sasa hapo habari za Dr Dau zinakujaje?Hivi picha za Dau kuapishwa ziko wapi ..............!!?
Kichwaaaa sasa hapo habari za Dr Dau zinakujaje?Hivi picha za Dau kuapishwa ziko wapi ..............!!?
...mie naona hii imekaa kumdiscuss mtu zaidi, mwee...Hahaha uzi kama sio Gt upite kimya ,mwisho hapo Pasco sio Gt ila ndio kaleta mada
Sasa kwanini hukukaa kimya ukaleta uzi ?
Kichwa kinauma
Anyway huo ukimya unatisha na kuzidi kukaa kimya kunafanya binadamu wengine wazidi kufikiri nje ya mada yako ,
Hivyo hilo la kudiscuss ideas badala ya mtu naona halina uzito wacha nipite zangu mimi nisiye GT
Heeh! JPM tena...Kwani mkuu amefanya nini hadi umkumbuke..Au JK..?I remember JPM salute kwako popote ulipo.
Kwanini akiahirisha safari yake ya Zambia...Press Release ya Ikulu ilisema anaahirisha ili kushiriki na wahanga wa Tetemeko....Mbona sasa hatumuoni..
Well! Kama aliahirisha ili kufanya majukumu mengine na sio la tetemeko, kwanini Ikulu isitishe safari ya Rais kwa kigezo cha Tetemeko..
Tumuombe...
Unaua mfumo kwa matamko alafu utegemee ubakiwe na mfumo !!??
Mleta mada ameomba kama wewe sio GT usichangie! sasa mbona wewe unachangia pumba zako? kaa pembeni sie GT tuchangie.Waziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.
Sio tunapenda ila ametuzoesha kutenda kwa kutumia matamko na kama vipi tunayatolea nje.
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.
Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.
Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.
Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.
Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.
Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.
NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.
Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .
Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.
Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.
Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .
Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .
Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .
Nawatakia Furahi Dei Njema.
Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.
2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Etiiiii???!! Aiseeee😵Huenda bado wanamsaka aliyeanzisha "UVUMI" Vice President anataka kuachia ngazi.....Najaribu kuwaza tu.
Umenielewa vibaya.Epushulia mbali..Mkuu hawezi kuwa kaparalaizi bana...Tuendelee kumuombea..
Jamani, Nikiongea munanisema, nikikaa kimya munanisema...Sasa munataka nifanyejeeeeee...Msema kweri ni mupenzi wa Mungu...Watanzania mniombee[/QUO
Kimempanda nini!Niliuliza swali hapa, huyu jamaa kafuta ziara ya Zambia kutokana na tetemeko sasa mbona hakuna hata kapicha kamoja tu kakimuonyesha akiwapa pole wahanga wa tukio lile au akitembelea maeneo yaliyoharibiwa!? Hakukuwa na jibu Mkuu. Mie nahisi kimepanda sasa wanamficha mpaka atulie ndiyo wamruhusu tena kuonekana hadharani.
Hii hali ya kutuficha Watanzania kile kinachoendelea si sawa hata kidogo.
Kila siku?unaishi Tanzania ganiWaziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.
Tumeona picha mpaka akina Makatibu Tawala wa Wilaya wanaapishwa lakini ...... sijaona za Dau akiapishwa.Kichwaaaa sasa hapo habari za Dr Dau zinakujaje?
Umekalia fitina tu kwa doctor Dau hata kama humpendi ndio imeshakuwa hivyo kale ndimu kama inakuumaTumeona picha mpaka akina Makatibu Tawala wa Wilaya wanaapishwa lakini ...... sijaona za Dau akiapishwa.