Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Kama ma GT ndo wako hivi basi hapa JF kuna vichekesho vya Sokomoko.
Mwenyekiti CCM JF
Hahahaha asee we Lodi Lofa umenichekesha sana.
Kama ma GT ndo wako hivi basi hapa JF kuna vichekesho vya Sokomoko.
Mwenyekiti CCM JF
Uso umeumbwa na aibu kina Ruge mzee wa Escrow ndio wenye uwezo wa kuiponya Bukoba ndani ya dakika tu lakini umeshatangaza unataka waishi kama mashetani.
Mabalozi waliambiwa wasiingilie mambo ya ndani wanashangaa wameitwa jumba jeupe kuombwa msaada baba mwenye nyumba haonekani, na mkumbuke wenzetu wazungu ni watu wa kukeep record, bado wana kumbukumbu na walimsikia Baba mtukufu akitamba Tanzania hatutaki misaada, je hata wewe Pasco utaanza vipi kuwaface watu kama hao uliowatambia?
Maskini hana kiapo na Shabaan Robert alituhasa tuweke akiba ya maneno.
Yale mapesa ya MCC zaidi ya dollar millioni 800 tuliyapiga teke leo kumfuata mzungu kumuomba msaada inaweza kusababisha waanzishe research center ya kuzifanyia research akili zetu.
Cha msingi tuendelee kumuombea tu.
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Jiombee mwenyewe na mipombe yako.Jamani, Nikiongea munanisema, nikikaa kimya munanisema...Sasa munataka nifanyejeeeeee...Msema kweri ni mupenzi wa Mungu...Watanzania mniombee
Kwenye hii thread.Pasco alishatowa angalizo ni kwa akili kubwa tu, sasa wewe poyoyo unadhani ni lazima kila thread uchangie hata kama imekuvuka upeo?Pasco unanifurahisha huna tofauti na kinyonga.Ukipata tenda serikalini na mashirika yake unakuwa CCM kwa muda.Tenda ziikiisha unarudi kule UKAWA ulikokuwa kwa Lowasa.
Haya PASCO
si ujitoe, kwani umelazimishwa kuwepo humu?Kama ma GT ndo wako hivi basi hapa JF kuna vichekesho vya Sokomoko.
Mwenyekiti CCM JF
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.
Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.
Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.
Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.
Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.
Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.
NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.
Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .
Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.
Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.
Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .
Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .
Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .
Nawatakia Furahi Dei Njema.
Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.
2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.
Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Pasco acha mikwala!Wajemeni,