Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Waziri mkuu si alishawakilisha Kagera? ikumbukwe Tanzania ina majanga kila siku tena ni mengi mno. sasa huo ukimya mnao question mngependa mtu ajigawanye mara ngapi? jipe mfano wewe na familia yako, ni mara ngapi mmeweza kuwepo kwenye tukio wote kwa pamoja iwe msiba, sherehe, kuona mgonjwa N.K? mimi nahisi Pasco unalo unalolitafuta au unalo unalojua na kama unalo unalojua basi kufwa free ku share nasi. After all sharing is caring. Sambaza upendo mkuu.

Nilichogundua ni kuwa watu wanapenda sana kumsikia kila mara. Akiwa kimya akifanya kazi hawaamini mpaka wamsikie. Hivyo hii inatoa picha kwamba anapendwa sana na wananchi licha ya wanaharakati wa humu kumpigia kelele.
 
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.

Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.

Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.

2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.

Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco

Uzi huu unadhihirisha kwamba bado sisi hatuamini katika mfumo. Mnataka kila jambo na kila kitu lazima yeye pekee aongee. Sasa zile kelele za kusema ajenge mfumo, kwamba anafanya kazi zote peke yake, au anaingilia taasisi nyingine kumbe hazina maana tena. Kumbe shauku yetu na maridhiko yetu ni kumsikia yeye pekee na si zaidi yake!

Watanzania aliyeturoga alishakufa siku nyingi. Hatujui tunataka nini mpaka sasa.
 
Sasa ndugu Pasco, mimi unataka nitokeje? Nilishasema siitaji msaada na si usiki na kutoa fidia kwa waanga wa nchi hii.

Nitatoka baada ya michango kutosha pamoja na waanga kupona kabisa. Kazi njema
 
Pasco unanifurahisha huna tofauti na kinyonga.Ukipata tenda serikalini na mashirika yake unakuwa CCM kwa muda.Tenda ziikiisha unarudi kule UKAWA ulikokuwa kwa Lowasa.

Haya PASCO

Anayepata tenda serikalini ni Paschal Mayala na sio Pasco wa jf
Pasco wa jf hategemei tenda zenu na wala haitaji nafasi zenu za uteuzi manake mshahara wake na ofisi yake ni zaidi ya cheo cha mkuu wa wilaya nchi hii.....teh teh
 
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.

Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.

Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.

2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.

Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Post za kizushi
 
Kwenye tukio kubwa kama ili hakuna suala la kukurupuka na kutoa matamko.unatakiwa kutenda kwa hiyo kama auna uwezo huo .nikupiga kimya na kutuma salaam za pole kwa mbaliii.au labda imepidi azuiwe kwenda ili asijekuta ametoa tamko kuagiza mkuu Wa mkoa ahakikishe tetemeko alitokei tena vinginevyo kazi hanaa
 
Huu ni ochonganishi, Yule ni kiongozi wa taasisi muhimu inchini na chini yake wako watendaji wengi, majanga na ajali nchi hii hayajaanza jana wala leo, tumeona ajali na majanga ya mafuriko, tumeona ajali za Sepide etc, hapa naona mnatafuta lawama kwa kuwa tukio limetokea kanda ile ili badaye mseme, Mods naomba mfute Uzi huu.
Akizungumza, Mara oh anakurupuka etc. Safi sana JPM maneno machache vitendo lukuki.
 
Pasco, ukiona kimya ujue serikali haina kitu na iko hoi kifedha. Hushangai kwamba serikali inahangaika kuomba michango kwa wafanyabiashara na Mabalozi?

Inaonekana hata madawa hakuna maana hatujaona wala kusikia kuwa shehena za madawa na misaada ya kibanamu kutoka serikalini.

Kama chanjo tu ktk hospitali za serikali ni taabu, hizo dawa na misaada mikubwa ya kibanadamu kama chakula na mahema zitawezekanaje kupatikana kwa urahisi.

Mbaya zaidi ni kuona matumizi yasiyo ya lazima kupambana na UKUTA mwezi uliopita, mazoezi ya maonyesho ya nguvu za dola -Polisi na kurusha midege vita. Wakati huu ilipaswa JWTZ wawe wamefika eneo la maafa kikamilifu kusaidia operation ya kuokoa, kusaidia waathirika na kugawa misaada.

Vv
 
Nilichogundua ni kuwa watu wanapenda sana kumsikia kila mara. Akiwa kimya akifanya kazi hawaamini mpaka wamsikie. Hivyo hii inatoa picha kwamba anapendwa sana na wananchi licha ya wanaharakati wa humu kumpigia kelele.
Sio tunapenda ila ametuzoesha kutenda kwa kutumia matamko na kama vipi tunayatolea nje.
 
Kimya kingi kina mshindo
Kuna magugu kwenye system na ni wakati muafuaka wa kuyaondoa --- expect a purge! huoni hela za madili hamna!!! hence vita kila kona ili madili yaanze tena BUT kwa msaada wa Mwenyezi Mungu hawamwezi kiongozi wetu.
 
Uzi huu unadhihirisha kwamba bado sisi hatuamini katika mfumo. Mnataka kila jambo na kila kitu lazima yeye pekee aongee. Sasa zile kelele za kusema ajenge mfumo, kwamba anafanya kazi zote peke yake, au anaingilia taasisi nyingine kumbe hazina maana tena. Kumbe shauku yetu na maridhiko yetu ni kumsikia yeye pekee na si zaidi yake!

Watanzania aliyeturoga alishakufa siku nyingi. Hatujui tunataka nini mpaka sasa.
Unaua mfumo kwa matamko alafu utegemee ubakiwe na mfumo !!??
 
Wajemeni,
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi bukoba Tanzania, kuna sauti fulani ilipaswa kusikika, lakini hadi leo hii ni siku ya 7 sauti hiyo bado haijasikika kusema lolote au kuonekana popote kuhusiana na tukio hili!.
Hali hii sii ya kawaida na kimya hiki sii cha kawaida ambako pia kutokuonekana popote eneo la tukio au kutokulizungumzia lolote hili akiwa tukio popote sii kawaida! . Jee kuna nini au nini kimekusibu? !.

Kwa maoni yangu, kimya hiki sii bure, lazima kuna jambo!, tena sii dogo ni kubwa ila hatuambiwi! .
Jee tuna haki kuhoji au kuuliza?!.

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere?!, Jee hii ni kawaida au mimi ndio niko wrong kuulizia jambo ambalo there is nothing wrong?!.

Japo statement ilitolewa, statement ni statement na kauli ni kauli, zingekuwa statement tuu zinatosha, kusingekuwa na sababu watu kuhudhuria misiba, tungekuwa tunatuma tuu salamu za pongezi na zikatosha!.

Watu tunashauku ya kusikia sauti, tunataka kusikia kauli kwa masikio yetu na kuona kwa macho yetu na sio kutolewa tuu kauli ya maandishi ya salamu za rambi rambi, au pole za maandishi pekee!. Pole ya sauti huku mtu akionekana inafaraja zaidi kuliko salamu za rambi rambi ya maandishi pekee!.

Jee wale wenzangu na mimi mmenielewa?, au mmetosheka?, mmeridhika na kimya hiki? , and is it right?!.

NB.
Uzi huu is meant kwa ma GT tuu wa humu jf. Wewe kama sio GT, nakuomba tafadhali sana usichangie chochote uzi kwa sababu is not for you.

Great mind discuss ideas, ordinary minds discuss event na simple mind discuss people! .

Hili sio bandiko la kudiscuss people bali ideas kuwa ukimya huu is it normal? , is right? or there is something wrong somewhere?!.

Kipimo cha kwanza cha wewe kujipima if you are GT or not ni iwapo utajiuliza kimya cha nini na kimya cha nani kuhusu tetemeko la ardhi lilotokea Bukoba.

Ukijiuliza tuu maswali hayo, jihesabu you are not, hivyo please just jisomee tuu bandiko hili na ujipitie zako bila kuchangia chochote ! .

Ma GT, wa humu jf, wanajua ni nani bila hata kuuliza na subject matter ya bandiko hili sio people, sio event bali ideas kuhusu conduct kuhusiana na tukio lenyewe! .

Hivyo nashauri, hata ilitokea wewe kuwa you are not a GT, I beg you, please jifanye kama you are a GT kwa kutotaja jina lolote la mtu wala kuzungumzia event bali kwa kuzungumzia if kimya hiki ni right, why is it right?, lakini kama kimya hiki is not right, why is it not right! .

Nawatakia Furahi Dei Njema.

Pasco
Note 1😛asco wa JF sio GT ila anauwezo wa kupandisha contents za maandamano GT.

2.Sababu za kuomba tusitaje taje majina ni kufuatia kufunguliwa kwa kesi nyingi kuhusiana na freedom of expression.

Mfano inawezekana kabisa jamaa akawa yuko very wrong, ukisema fulani is wrong unaweza kushangaa kesho unaambiwa ulimtukana fulani etc etc hivyo kwenye discussion za great minds hakuna haja ya kutaja taja majina! .
Pasco
Mkuu Pasco unataka tamko la mtu binafsi au la Serikali? Baada ya jibu lako nitaendelea!
 
Pasco umetumwa Mkuu kutega watu ?
Nani anataka kuitwa Kisutu ???
 
Nafikiri kuna mahali pesa zilitakiwa zihamishwe ili kumpandisha mtu chati lakini washika dau kwa kutumia intelligensia yao wakatonyo hakuna tena pesa zinazo hang zisizohitaji kutolewa jasho kwanza.
Zimekuwa zikitafutwa ili jamaa akashangiliwe jukwaani lakini bado.
Hata hivyo sasa zikipatijkana mtu atapanda jukwaani japo ashachuja kwa hii issue.
 
Back
Top Bottom