Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

Alituhaidi kutuonesha Salary Slips zake akiwa Chato...alizionesha!?
 
Ni kweli kila mtu anayofalsafa na mtindo wake wa kuongoza lakini katika hili hata mimi napata kizunguzungu! After all, mheshimiwa hakuanza na mtindo huu. Angeanza hivi hatungejiuliza maswali mengi maana angekuwa ameshajipambanua nasi hatungepata shida kumeelewa.
 
Hahaa nimeona hadi Mwanakijiji nae anauliza kuna nini?

naona labda kuna kitu 'very serious' going on...

Labda .........vipengele vya sheria vinatazamwa kabla ya tamko..

labda.....
Kumbe siku hizi kuna vipengele vya sheria vinaangaliwa kabla ya "kutoa matamko"? Haya yakuwa mabadiliko chanya.
 
Think GT Think! What is going on is very abnormal. There is no harm to speculate.

Mkuu amejifungia anafanya matambiko, maana hii si kawaida kwa kule bukoba kiongozi ukianza na majanga kama haya ujue hutoboi, Mara sukari zafichwa, Mara pesa zafichwa, mara jua lapatwa, mara matetemeki, mara wakulima was nyanya wapatwa, ni nuksi kwenda mbele
 
Akimaliza kuzungusha bakuri kwa wazungu na matajiri atasema tu , naona juzi wizara na idara za serikali na mashirika yake kampuni zake walikuwa wakijitanua tanua kutoa fedha sijui walituomba ruhusa wananchi au ndio mwendelezo wa matumizi mabaya eti hata Muhimbili walikuwepo , Magufuli kakata pumzi asubuhi na mapema
 
Kwani ukinyamaza si utaonekana zimo kuliko kujidhalilisha kiasi hiki, hivi unamaanisha majanga mengi yapi hayo ya kila siku? Au kama ni uongozi wa kiuchwara tulio nao kila siku hapo sawa hilo kweli ni janga la kila siku kinyume na hapo basi janga litakuwa ni kwenye fikra zako tu.



 
tofauti na sisi wa kisayansi kuna wanaoamini kupatwa kwa jua ni ishara mbaya kwa ufalme, ukiunganisha tetemeko na njaa kubwa inayotarajiwa kutokana na ukame unaotarajiwa, isitoshe inaelezwa katika utawala huu kutatokea kupatwa kwa mwezi pia, lazima ajitafakari na aombe nusra.
 
 
Pasco waswahili wanasema "kimya kingi kina mshindo" tusubiri kusikia mshindo wa kimya hiki.

Lakini pia wakat flan kunyamaa ni bora zaidi kuliko kuzungumza kuna watu tunaweza zungumza tukasababisha tetemeko la nchi nzima badala ya kanda ya ziwa peke yake.

Lakini pia unaponiona nanyamaza sijaweka bandiko lolote kuhusiana na tetemeko ni kwakiwa nafanya mazoezi ya kuzungumza maeneo kama hayo. Kuna namna yake ya kuzungumza nisije nikajisahau na kusema tetemeko lile ni uzembe wa wananchi wa huko au watu wanafanya hujuma.nahitaj muda nifanye mazoez na baadaye nitaleta bandiko.
Lakini pia mazoea nliyo nayo ni tatizo binafsi nmezoea ubabe na kupiga beat. Sasa nije kuongelea habari za walioathirika na janga ni issue inayohitaj utulivu.






 
BAK said:
Hivi mara ya mwisho alionekana lini? Hili nalo ni muhimu kulijua.



...alionekana zenj akimkamia maalim seif kwa shein...na baadae udsm akikagua bweni....hadi leo ameshindwa kuonekana kwenye janga kagera...hata watoa hela walienda ikulu kuchangia hakuonekana...this is serious... Something is fishy here..
 
Kama ma GT ndo wako hivi basi hapa JF kuna vichekesho vya Sokomoko.

Mwenyekiti CCM JF

I agree. Hamna "great thinking" yeyote hapa. It is a conspiracy theory, at best. Hatahivyo nakubaliana na maoni yake kuwa Rais kusema chochote kwa kauli yake na akasikika na kuonekana kwa wahanga hasa, lingekuwa ni jambo la busara na la kufariji zaidi. But, again, that's just what I think. Wengine, pamoja na yeye mwenyewe Rais, wanaweza kuwa na mtazamo tofauti.
 
.....Siku zote panapofuka moshi.......

...alionekana zenj akimkamia maalim seif kwa shein...na baadae udsm akikagua bweni....hadi leo ameshindwa kuonekana kwenye janga kagera...hata watoa hela walienda ikulu kuchangia hakuonekana...this is serious... Something is fishy here..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…