Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,390
- 13,720
Wanakazana kuomba magari ya kusomba watu... Sasa wananchi kama kweli wanampenda na daraja ni kipaumbele chao si watafika kwenye mkutano kwa gharama zao??Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153