Kimsingi ziara ya kanda ya ziwa imevurugika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,847
Reaction score
287,863
Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.

Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa

1750151546434.png
 
Hasira haisaidii kwenye kuambiwa ukweli.Wanaomfanya a-panic na wao wanajikuta tu wametamka bila shuruti.It(grudge )catches them without their awareness.Atulize boli.
NB;The last time I checked,the narrations told me that,wenye asili ya pwani,are the most tolerant beings.Nashangaa yeye amepatwa na nini!
 
Kungekuwa na Uchaguzi huru huyu angekimbia Jukwaa la Kampeni
 
Ile rosti wahuni wamemwagia mafuta ya taa ,kilichobaki ni kuwa kwenye panic mode.
 
Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.

Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa

View attachment 3373153
Hakuna mfanyabiashara mjinga...hizi gharama tunalipa Sisi wapiga Kura,

Mwanza mjini bajaji walikuwa wanawekewa mafuta ya sh.10,000 kila bajaji waende airport kumpokea mama.
Wenye akili waliwekewa mafuta na kutokomea vichakani Hadi msafara ulipoondoka wakarudi kutafuta hesabu za matajiri wao!
 
Back
Top Bottom