Kimsingi ziara ya kanda ya ziwa imevurugika

Chadema watakuwa na wivu wakiona watu wanakufa kutoka na ajali ya Lori lililokuwa limesomba wananchi kwenda kuhudhuria mikutano na kuona majeruhi wa ajali wanatibiwa kwa gharama za serikali. Just jocking
Binadamu mwenye akili timamu hawezi kukubali kusombwa na lori kama mzigo wa mkaa. Serikali imepiga marufuku ,nashangaa hii ilikuwaje.
 
Waliahidiwa

Screenshot_2025-06-18-19-58-48-1.png
 
👉👉👉👉👉👉👉
 
Attachments

  • 1750278884958.jpg
    1750278884958.jpg
    610.6 KB · Views: 8
Binadamu mwenye akili timamu hawezi kukubali kusombwa na lori kama mzigo wa mkaa. Serikali imepiga marufuku ,nashangaa hii ilikuwaje.
Nihatari sana mkuu , ila labda ni umaskini uliokisiri inawezekana hao watu hawapandigi magari na kwao hiyo ndio opportunity ya kupanda gari (lori) . CCM inatumia vibaya sana umaskini wa watu kufanya siasa za kijinga.
Kuna watu nawaonaga wanapanda malori kwenda kuzika au wanakwenda minadani kufanya biashara hao kidogo naweza kuwaelewa ila kupandishwa Lori kwa ajili ya kwenda kumsikiliza kiongozi wa kisiasa yeye ambaye anatembelea vx hapana kwa kweli.
Kiongozi wa kisiasa kama nina nia ya kwenda kumsikiliza nitakwenda mwenyewe kwa usafiri wangu
 
Umasikini ni mtaji wa ccm
 
Chadema mna wivu sana
Endelea kusema wivu, na sisi tunasema endeleeni kumdanganya mama kwa maslahi yenu bimafsi na sio kwa maslahi ya taifa. Mleta mada kasema ukweli,
Eti kuwe na tume huru, uchaguzi wa haki, mbona vyuma vingeumana saa tatu asubuhi
 
Back
Top Bottom