MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,674
- 2,934
B
BalaaaaaAna hasiraaa?
BalaaaaaAna hasiraaa?
Atoboi huyu ,nadhani saivi Kuna vitu ataacha kufanyaMbeya anaenda lini....
Kwanza ungejiuliza wewe mwenyewe hapo ulipo; hujishangai kuwa upo vile vile tokea siku ya kwanza uingie kwenye jukwaa hili la JF?Kila siku unasemaga hivyo hiyo wewe mchawi😁
😆😆😆😆Mbeya anaenda lini....
Sijishangai hata kidogo; sana sana nakushangaa wewe unayetaka nijishangae bila sababu ya msingi😁...hujishangai kuwa upo vile vile...
Tulia Chawa wewe!!Sijishangai hata kidogo; sana sana nakushangaa wewe unayetaka nijishangae bila sababu ya msingi😁
Kiujumla Nchi yetu haina Raisi, mana sio kwa mipasho ile 🤣🤣🤣🤣Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
Ofisa Doria mitandaoni anakucheki tuKiujumla Nchi yetu hazina Raisi, mana sio kwa mipasho ile 🤣🤣🤣🤣
Watuue tu jamani, lkn tunasema kah! Rais kila akipanda jukwaani ni taarab tu 🚮Ofisa Doria mitandaoni anakucheki tu
We ngedere hujitambui, kahangaike na nyumbu wenzio, ur zero brainUkiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
Kampeni zikianza huyu binadamu hataweza kushindana kwenye majukwaa. Kama Magu na ubabe wake kidogo ajinyee jukwaani sasa huyu si atakunya kabisa?Ukiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153
Siyo Mdau bwana bali ni Madau!Mdau wa maendeleo 😅😅😅
😄😄😁😁🤣🤣😂Kampeni zikianza huyu binadamu hataweza kushindana kwenye majukwaa. Kama Magu na ubabe wake kidogo ajinyee jukwaani sasa huyu si atakunya kabisa?
SanaAna hasiraaa?
Ila Wamepoteza Mvuto
Tuna wivu na taifa letu pendwa Tanzania ,tunawivu wa hali na maisha bora kwa kila Mtanzania,na sii ukosefu wa haki uhuru na manyanyaso kwa Mtanzania.Chadema mna wivu sana
No reform, no electionUkiona kwenye Jukwaa moja kumetokea vurumai ya maneno, huko ndio kuvurugika kwenyewe.
Kwa hali ilivyo usishangae hata kuliko baki ikaahirishwa
View attachment 3373153