Kimombo kigumu sana

Si aandike Kiswahili tu? Yaani hata kusoma meno yameniuma utadhani nimetafuna mchanga!!!!!

sijakusoma bado Mpwa wangu
Click hiyo picha hafu usome ujumbe wa Diamond!!!!
 
Si aandike Kiswahili tu? Yaani hata kusoma meno yameniuma utadhani nimetafuna mchanga!!!!!


Click hiyo picha hafu usome ujumbe wa Diamond!!!!
asante sana Mpwa wangu, nimescheka sana na nikawa namuona jamaaa machoni pangu
 
Mwalimu wa huyo dogo ni Wema Sepetu unategemea lugha gani?bora angeandika kiswanglish!
 
kiislam=kiarabu

Naamini utakua umenipata...ukishindwa changanya na za kwako.

Bado sijakupata maana kama ulimaanisha hivyo umekosea................
Kikristo=kigiriki!!!!!!
 
ila ndio watu wame_mlike kibao.
 
Bora nichapie kidhungu kuliko kuchapia kiswahili maana nisipojua kiswahili ndio basi tena!
But at the same time one could argue that bora kujikalia kimya tu. Sasa hapo kasema nini?
After I done did
The UK, Congo, Burundi,
Guess where next i'll be headed????!!!
 
Mleta mada ana akili za kushikisha kwa super-glue!
Mimi kabla ya kufika kwa huyo Diamond bado najiuliza mleta mada kwanini atumie heading bila kutumia akili!
 
Hata 'wao' wakitumia kiSwahili huwa wanachapia...atleast he tried!
Riwa sijaelewa unachojaribu kukitetea hapa. Kuna janga hapa kwetu Tanzania la vijana kuwa mambumbumbu na kutoifahamu lugha itumikayo katika kujifunza yaani kiingereza(hakuna waandishi wa kiswahili kutosheleza burudani, elimu na mawasiliano ya utamaduni) na kuficha kwa kujifariji haitusaidii.afichae ugonjwa mauti yatamuumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…