Kimombo kigumu sana

Kimombo kigumu sana

Riwa sijaelewa unachojaribu kukitetea hapa. Kuna janga hapa kwetu Tanzania la vijana kuwa mambumbumbu na kutoifahamu lugha itumikayo katika kujifunza yaani kiingereza(hakuna waandishi wa kiswahili kutosheleza burudani, elimu na mawasiliano ya utamaduni) na kuficha kwa kujifariji haitusaidii.afichae ugonjwa mauti yatamuumbua.

Hata wewe ni mbu mbu mbuu wa kiFaransa, kiSpaniola, kiChina, kiJerumani etc...kutojua lugha fulani ya kigeni hakujawahi kumfanya mtu mbu mbu mbu...nilikuwa na maDaktari maconsultant toka uFaransa hawajui kiIngereza, wanachapia balaa..lakini ni ma'Nguli' wa fani yao..utawaita ma-mbu mbu mbuu kwa sababu hawajui kiIngereza!?
 
I did put my argument with reference to Tanzanian academic setting( not global). Anyway you have made your point "great thinker" and I rest my case
 
anakuhusu nini bwana mbona wachina hawajui kiswahili na mpo nao saana kkoo mkiwafuta majasho yao
 
chezeya lugha iliyokuja kwa meli,

why asingeandika kiswahili tu full!
 
Back
Top Bottom