faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
View attachment 94887 bora angetumia lugha ya taifa tu
Click hiyo picha hafu usome ujumbe wa Diamond!!!!sijakusoma bado Mpwa wangu
asante sana Mpwa wangu, nimescheka sana na nikawa namuona jamaaa machoni panguSi aandike Kiswahili tu? Yaani hata kusoma meno yameniuma utadhani nimetafuna mchanga!!!!!
Click hiyo picha hafu usome ujumbe wa Diamond!!!!
View attachment 94887 bora angetumia lugha ya taifa tu
sijakusoma bado Mpwa wangu
Si aandike Kiswahili tu? Yaani hata kusoma meno yameniuma utadhani nimetafuna mchanga!!!!! Click hiyo picha hafu usome ujumbe wa Diamond!!!!
Kikristo ndo nini?
kiislam=kiarabu
Naamini utakua umenipata...ukishindwa changanya na za kwako.
Duhhh JF bana... we acha.... Kipagani = kimakonde au..??? Kihindu = kihindi..??kiislam=kiarabu
Naamini utakua umenipata...ukishindwa changanya na za kwako.
Kwa hiyo umeshindwa kuchanganya na za kwako..?? Basi changanya na za JK...Bado sijakupata maana kama ulimaanisha hivyo umekosea................
Kikristo=kigiriki!!!!!!
View attachment 94887 bora angetumia lugha ya taifa tu
View attachment 94887 bora angetumia lugha ya taifa tu
Hata 'wao' wakitumia kiSwahili huwa wanachapia...atleast he tried![/QUOTE]
I concur with you....
Riwa sijaelewa unachojaribu kukitetea hapa. Kuna janga hapa kwetu Tanzania la vijana kuwa mambumbumbu na kutoifahamu lugha itumikayo katika kujifunza yaani kiingereza(hakuna waandishi wa kiswahili kutosheleza burudani, elimu na mawasiliano ya utamaduni) na kuficha kwa kujifariji haitusaidii.afichae ugonjwa mauti yatamuumbua.Hata 'wao' wakitumia kiSwahili huwa wanachapia...atleast he tried!
Bado sijakupata maana kama ulimaanisha hivyo umekosea................
Kikristo=kigiriki!!!!!!