Kimeo

Mkuu papuchi lazima ale sasa baada ya gem mshikaji kazima kalala fofofoo kalegeza pumbu zake kanachia kojo lake shwaaaaa afu ana singizia ndoto jaman jaman....
asubuhi ulivyoona kakojoa ungempa azabu yakukugegeda mpaka atoe povu
 
Hapo ndipo wanawake mnapokuja kuishia hamuolewi maana kitu kidogo tuu makelele kibao

1. Maisha ni kuvumilia na kama ilivyo muungano wa aina yoyote kwenye ndoa ama mapenzi lazima ukubali kupoteza kiasi na kupokea kiasi

2.Hakuna aliye mkamilifu tofauti na Mungu tunatofautiana tuu aina ya mapungufu na sehemu yalipo kuna walionayo yanayoonekana wazi na wengine wanayo yamejificha.

3. Ukiona wanandoa wanaishi pamoja basi kumbuka wamevumiliana madhaifu yao na kwa umoja wao wameyafunika yasionekane na mtu wa nje na wameiacha tuu furaha ionekane imewaenea

4.Kama kweli huyo mtu ni mgonjwa na ugonjwa huo hauwezi kutibika sasa itasaidia nini kuchukua tarumbeta kwa mtu aliyekuamini na kukuvulia nguo maana yake aliamini siri yoyote atakayoiona kwako angeimeza kifuani na siri yoyote ambayo ungeiona kwake ungemeza kifuani na huo ndio utu uzima na ndio ubinadamu?

5. Laana za kumkosoa Mungu kupitia viumbe vyake , huwarudi wakosoaji hao kama amemkwepa kwa kebehe mwisho wa siku anakuja kuangukia kwa mwenye mapungufu makubwa zaidi ama mtoto wake anakuja kuzaliwa na mapungufu ya namna mbaya zaidi.Maana tugekuwa na option ya tuzaliwe vipoi kila mtu angejichagulia aina ya nywele , kope , ngozi na kila kitu anachokiona kinamfurahisha lakini hii ni siri ya Mungu
 
Mkuu y so serious nashukuru kwa mchango wako....

am better here
 
Kuna dada moja aliwakupiga kojo kitandani alafu tuko ugenini. Asubuhi namwamsha afue mashuka kabla wenyewe hawajaamka akataka kuwa mbish. Baadae alifua tukageuza godoro.

Wakati anafua mwenyeji akauliza mbona hivyo. "Mimi nikawahi kusema kuwa nikilala kwa watu huwa nahakikisha naacha katika hali ya usafi sitaki kuwapa walinzi wa nyumba kazi ya kufua mashuka".

Toka siku hiyo sikutaka kumuona huyo mdada

God save us
 
pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…