Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Status
Not open for further replies.

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,713
2,000
[h=2]Source Israeli Source Confirms Iran’s Fordow Nuclear Plant Exploded[/h]Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a “mega explosion” last week.
By Chana Ya'ar First Publish: 1/28/2013, 11:15 AMQoms Nuclear Site

chanzo cha habari kutoka Israel kimekili na kimethibitisha kuwa Kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi nchini Iran ambacho ni kituo endelevu kimepata uharibifu mkubwa katika "mlipuko mkubwa" ambao ulitokea wiki iliyopita.

Kituo hichokilikuwa na kama angalau centrifuges 2700 za uranium iliyorutubishwa, kituo hicho kipo chini ya mlima ulio karibu na mji wa Qom Iran.

Baadhi ya wafanyakazi 200 waliokuwa ndani ya kituo wakati huo, kulingana na ripoti iliyochapishwa Jumatatu na, gazeti la Times la Uingereza.

Ripoti rasmi ilinukuliwa nchini Israel ilisema "Sisi bado tupo kwenye hatua za mwanzo za kujaribu kutafakari ni nini kilichotokea na kupanua wa umuhimu wake." aliongeza kuwa ilikuwa bado haijulikani kama mlipuko ulikuwa ni "kitendo cha hujuma au ajali ya kawaida."

Chanzo hicho kilikataa kudhihirisha kama ndege ya Israel ilikuwa katika maeneo ya jirani wakati wa mlipuko.

Iran imekanusha kwamba hakuna mlipuko wowote uliotokea katika kituo, wakidai katika taarifa kwa shirika rasmi la habari
IRNA kuwa ripoti ya mlipuko hiyo kuwa si ya kweli bali ni "propaganda za nchi za Magharibi."

Habari ya mlipuko huo iliripotiwa Ijumaa na tovuti ya nchini marekani WND.
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Officer wa israel anasema ' what ever is manmade we can penetrate'

ni taarifa ya kweli na iran wanafanya siri kubwa na bado soon tutawatwanga hao iran

I SUPPORT ISRAEL

Not confirmed yet if it was Israel, though they are capable to destroy Iran in hours. God bless Israel. God bless America.
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
3,089
1,225
Hii habari mparaganyiko maana haielezi nini kimefanyika na nani kafanya hicho kilichofanyika. Israel hawawezi kulipua kinu halafu waendelee kutafakari nini kimefanyika. Laiti angesema kilichotokea ni ajali tungemuelewa. Fanyeni uchunguzi jamani.
Source Israeli Source Confirms Iran's Fordow Nuclear Plant Exploded

Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a "mega explosion" last week.
By Chana Ya'ar First Publish: 1/28/2013, 11:15 AMQoms Nuclear Site

chanzo cha habari kutoka Israel kimekili na kimethibitisha kuwa Kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi nchini Iran ambacho ni kituo endelevu kimepata uharibifu mkubwa katika "mlipuko mkubwa" ambao ulitokea wiki iliyopita.

Kituo hichokilikuwa na kama angalau centrifuges 2700 za uranium iliyorutubishwa, kituo hicho kipo chini ya mlima ulio karibu na mji wa Qom Iran.

Baadhi ya wafanyakazi 200 waliokuwa ndani ya kituo wakati huo, kulingana na ripoti iliyochapishwa Jumatatu na, gazeti la Times la Uingereza.

Ripoti rasmi ilinukuliwa nchini Israel ilisema "Sisi bado tupo kwenye hatua za mwanzo za kujaribu kutafakari ni nini kilichotokea na kupanua wa umuhimu wake." aliongeza kuwa ilikuwa bado haijulikani kama mlipuko ulikuwa ni "kitendo cha hujuma au ajali ya kawaida."

Chanzo hicho kilikataa kudhihirisha kama ndege ya Israel ilikuwa katika maeneo ya jirani wakati wa mlipuko.

Iran imekanusha kwamba hakuna mlipuko wowote uliotokea katika kituo, wakidai katika taarifa kwa shirika rasmi la habari
IRNA kuwa ripoti ya mlipuko hiyo kuwa si ya kweli bali ni "propaganda za nchi za Magharibi."

Habari ya mlipuko huo iliripotiwa Ijumaa na tovuti ya nchini marekani WND.
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,713
2,000
Sasa kipi ndo kipi? Na hao kinu cha nyuklia kinqlipuliwa wao wanatafakari nini kimetokea?
Mambo ya Siri huwa hayawekwi wazi hadi wamalize kazi ila ajalli yoyote itakayotokea nchini Iran kuhusu Nuclear basi anayehusika zaidi ni Israel.... Hata Kiwanda cha silaha kule Sudan kililipuliwa na ndege za Israel lakini Israel haikusema kitu...

so ukifuatilia kwa makini visa vyao utajua anaehusika
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,922
2,000
Hivi mnacheza na kinu cha nyuklia kulipuliwa?hapa unakua unaongelea vifo vya zaidi ya watu milioni wanaoishi maeneo ya hapo mji wa Qum.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,056
2,000
Officer wa israel anasema ' what ever is manmade we can penetrate'

ni taarifa ya kweli na iran wanafanya siri kubwa na bado soon tutawatwanga hao iran

I SUPPORT ISRAEL
Why support Israel mkuu.
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,501
1,500
Officer wa israel anasema ' what ever is manmade we can penetrate'

ni taarifa ya kweli na iran wanafanya siri kubwa na bado soon tutawatwanga hao iran

I SUPPORT ISRAEL
We mkongoman tulia wewe, unadhani Irani ni M23 eeh! dogo usiangalie kwa wasiwasi tisa ukadhani sita
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,713
2,000
Hii habari mparaganyiko maana haielezi nini kimefanyika na nani kafanya hicho kilichofanyika. Israel hawawezi kulipua kinu halafu waendelee kutafakari nini kimefanyika. Laiti angesema kilichotokea ni ajali tungemuelewa. Fanyeni uchunguzi jamani.
[h=2]U.S. Doesn't Believe Reports of Fordow Explosion[/h]"We have no information to confirm" that an explosion at the Iranian Fordow nuclear plant took place, says White House Spokesman.The United States said on Monday that it does not believe reports about an explosion at the Fordow uranium enrichment plant in Iran.

"We have no information to confirm the allegations in the report and we do not believe the report is credible," White House spokesman Jay Carney told reporters. "We don't believe those are credible reports."
On Friday, the American WND website reported that an explosion had occurred deep within Fordow, which is carved into a mountain.
According to the report, the explosion which took place last Monday destroyed much of the installation and trapped about 240 personnel deep underground. The plant contains at least 2,700 centrifuges for uranium enrichment.
Iran denied the reports of the blasts on Sunday, claiming they were nothing but “Western-made propaganda,” according to the Iranian-based IRNA news agency.
An Israeli intelligence source confirmed on Monday that the Fordow facility sustained major damage in a “mega explosion” that occurred last week.
“We’re still in the early stages of trying to comprehend what happened and the extend of its significance,” the unidentified source told the British Times, adding that it was not yet known whether the explosion was “an act of sabotage or incidental.”
The official declined to reveal whether Israeli aircraft had been in the vicinity at the time of the explosion.
Iran admitted in the past it was moving more centrifuge machines for enriching uranium to the Fordow facility.
The existence of the facility near Qom only came to light after it was identified by Western intelligence agencies in September 2009. The UN’s nuclear watchdog has already confirmed that Iran begun enriching uranium at the plant.
Strategic Affairs Minister Moshe Yaalon, when asked during an interview with Army Radio on Monday morning whether the explosion had indeed occurred, would only respond with, “I read about it in the newspaper.”
Political analysts who were interviewed after Yaalon speculated that his response was a confirmation that such an explosion had indeed taken place.

Anyway nijuavyo Iran keshakwa mpole kwa mshtuko na lisemwalo sana linaweza kuwa na ukweli
 
zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,066
0
Kichwa cha habari na utumbo uliouweka ni vitu tofauti. Ili iweje?
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,814
1,250
Officer wa israel anasema ' what ever is manmade we can penetrate'

ni taarifa ya kweli na iran wanafanya siri kubwa na bado soon tutawatwanga hao iran

I SUPPORT ISRAEL
I mean, I know the Fordow Nuclear Plant exploded and Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a "mega explosion" last week, but who is behind it?

:israel: God bless Israel :israel:
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Supreme leader wa ran jana alitangaza kuwa nchi za mashariki ya kati zijiandae kuipiga israel soon baada ya hilo tukio la last week na kauli yake 'wipe out israel from the face of the earth'

I SUPPORT ISRAEL

I mean, I know the Fordow Nuclear Plant exploded and Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a “mega explosion” last week, but who is behind it?

:israel: God bless Israel :israel:
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,922
2,000
Hivi mnacheza na kinu cha nyuklia kulipuliwa?hapa unakua unaongelea vifo vya zaidi ya watu milioni wanaoishi maeneo ya hapo mji wa Qum.
 
Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Hebu jaribu hii,,,korea kusini ama marekani wanapojaribisha makombora chini ya ardhi kuna mtu anaumia? Underground,desert hayo maneno ungeyapigilia mstari coz ndi sehemu vinu vilipo mbali na makazi na sio juu tu ni undergroung,,source Baba V

I SUPPORT ISRAEL

Hivi mnacheza na kinu cha nyuklia kulipuliwa?hapa unakua unaongelea vifo vya zaidi ya watu milioni wanaoishi maeneo ya hapo mji wa Qum.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Top Bottom