Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Status
Not open for further replies.
Hebu jaribu hii,,,korea kusini ama marekani wanapojaribisha makombora chini ya ardhi kuna mtu anaumia? Underground,desert hayo maneno ungeyapigilia mstari coz ndi sehemu vinu vilipo mbali na makazi na sio juu tu ni undergroung,,source Baba V

I SUPPORT ISRAEL

Hivi mnacheza na kinu cha nyuklia kulipuliwa?hapa unakua unaongelea vifo vya zaidi ya watu milioni wanaoishi maeneo ya hapo mji wa Qum.
 
Last edited by a moderator:
kweli jamaa ana mapenzi ya ......! mtu kaona kwenye post ya Israel news tiyari keshapost utumbo huo...Kwanini usimeki follow up ata ktk vyombo vingine vya habari? Kwanza kabisa kinu cha FORDO ni underground ata zile massive ordnance bomb za US wame prove haziwezi penetrate Iranian concrete...pili US wenyewe wamethibitisha kua ata hizo taarifa hawana kwani ata satellite images zingeonesha kwani kuna Satellite nyingi tu angani za hao jamaa kutake photo kwa tukio km hilo ni kugusa...Tatu km ingekua kweli vinu vimelipuka kwa bahati mbaya still satellite image zingepatikana...Nne Israel has no capability and will to invade Iran without US,UK,NATO ambapo US hataki kuburuzwa kwani km akifanya hivyo all US bases in middle east zitafutwa ktk uso wa dunia ndo maana analazimisha sanctions ile ishu nzima iwe solved diplomatically....Mwisho mtoa mada acha mapenzi ya kuku jaribu kua unafatilia kwani baba zako ni master of propaganda
 
Iran denies reports of explosion at Fordo nuclear site

Iran has denied foreign media reports of a major explosion at one of its underground uranium enrichment sites.

Iran has denied foreign media reports of a major explosion at one of its underground uranium enrichment sites.
The deputy head of Atomic Energy Organisation of Iran (AEOI) called the reports "Western propaganda" designed to influence forthcoming nuclear talks.
Reports in Israeli and Western media said a blast at the Fordo facility near Qom had caused significant damage.
Meanwhile, Russia has criticised the West and Iran for a fresh delay to the talks, six months after the last round.
Foreign Minister Sergei Lavrov accused them as "behaving like capricious little children" for failing to agree on a location for the talks, which had been due to take place this month.
Mr Lavrov described it as an "ideology-driven argument" between Iran and the so-called P5+1 - Russia, the US, UK, China, France and Germany - and hoped that "common sense" would prevail and a date and location would be agreed soon.

SOURCE: BBC News - Iran denies reports of explosion at Fordo nuclear site
 
Hebu jaribu hii,,,korea kusini ama marekani wanapojaribisha makombora chini ya ardhi kuna mtu anaumia? Underground,desert hayo maneno ungeyapigilia mstari coz ndi sehemu vinu vilipo mbali na makazi na sio juu tu ni undergroung,,source Baba V

I SUPPORT ISRAEL

tofautisha underground nuclea test na attack on NUCLEAR FACILITIES.Na ukumbuke hiyo site iko very deep underground and built to withstand a direct missile attack.
Hiyo kitu it didnt happen ni propaganda na life goose on at Qom city as always
 
Last edited by a moderator:
BINARY NO Ndoa NTAUPLOAD MAKALA habari za kijasusi zinasema mlipuko umetokea ila hawajajua kama ni 'sabotage ama accident' ila inasemekana ndege za kivita za israel zilionekana sehemu ya tukio na wanasubiri after 3 to 5 days kuona nini kilitokea
 
Israel officer said 'Whatsoever is manmade we can penetrate' kwa hiyo hilo zege ama nini haliwezi kuhimili kinds of missiles,but as long as habari ndo zimeanza toka tusubiri tuone

tofautisha underground nuclea test na attack on NUCLEAR FACILITIES.Na ukumbuke hiyo site iko very deep underground and built to withstand a direct missile attack.
Hiyo kitu it didnt happen ni propaganda na life goose on at Qom city as always
 
BINARY NO Ndoa NTAUPLOAD MAKALA habari za kijasusi zinasema mlipuko umetokea ila hawajajua kama ni 'sabotage ama accident' ila inasemekana ndege za kivita za israel zilionekana sehemu ya tukio na wanasubiri after 3 to 5 days kuona nini kilitokea

hiyo fununu zinasema tukio limetokea wiki iliyopita.
Na hiyo fordow iko karibu sana na makazi ya watu kama pangekuwa na shambulio la warplane lazima mionzi ya nuclear ingeua maelfu ya watu na haingekua siri.
Hii habari hata debka wenyewe wameshindwa kuicofirm wakati wao ndo mossad.
 
Last edited by a moderator:
Mambo yale yale ya ki-jinga: kushabikia vita na vifo vya watu wengine wasio na hatia.
 
Hivi mnategemea kabisa kuwa Iran watakubali kuwa kinu chao kimelipuka, mbona kipindi walipotengenezewa kile kirusi kilichofanya zile centrifugal zao kwenda kwa speed ya mwanga walikaa kimya?.
 
Israel hana ubavu wa kusogelea Iran, mtabakia kuimba tu :biggrin1:
 
Kichwa cha habari na utumbo uliouweka ni vitu tofauti. Ili iweje?
Alaa itofauti wake ni nini? hakujalipuka? wewe ribosome mbona unakuwa na akili za nazi kama za Dr. Fastjet wa pale Magogoni
 
Supreme leader wa ran jana alitangaza kuwa nchi za mashariki ya kati zijiandae kuipiga israel soon baada ya hilo tukio la last week na kauli yake 'wipe out israel from the face of the earth'

I SUPPORT ISRAEL
Sure huo mkutano niliutizama live Press TV Wakati Ahmadinajad alipokuwa akihutubia kuwa waisram waungane na kuacha tofauti zao wawaondoe wazayuni katika utawala wa dunia na kuwaondoa wazayuni wachache walioikalia palestine nilishtushwa ila nikamuona kama mtu aliyechanganyikiwa tu peke yake kumbe mlipuko ulimuuma sana wa kuchapwa kinu chake anachokiaminia kipo salama na wakati huo huo wiki moja kabla Russia aliipiga mkwara Israel isiishambulie iran na kwa jeusri ya Israel katoa kichapo... Muhahahahahaha
 
All reliable Israel espionage and sabotage news are found in Debka.com. The news in question is nowhere to be found in this website.
 
Israel hana ubavu wa kusogelea Iran, mtabakia kuimba tu :biggrin1:
Sasa unasema watu watabaki kuimba ngoja waje kuthibitisha wao sijui utaficha sura yako na jiwe au kopo la choo? zile hasira za kuwataka waisram wote duniani waungane na wasahau tofauti zake na waifute israel katika ramani hujagundua tu kama zilikuwa hasira na ameona hatomuweza Isrrael peke yake! wewe alifazaa vipi
 
All reliable Israel espionage and sabotage news are found in Debka.com. The news in question is nowhere to be found in this website.
Ile habari ya kulipuliwa kiwanda cha silaha kule sudan na ndege za Israel zipo pia? eenh!
 
Mambo yale yale ya ki-jinga: kushabikia vita na vifo vya watu wengine wasio na hatia.

Ujinga upi na watu sie tunapeana habari nadhani wewe ndie hiyo kitu mwenyewe ni bora Unyamaze usionekane upumbavu. wewe aje atokee mtu aseme wewe na familia yako na ukoo wako na kabila lako hamfai kuishi hapa duniani na ni vyema ukafutwa kabisa kwenye ramani.... ati marafiki zako na wakupendao wakae kimya sababu ni mambo ya kijinga... jf sikuhizi imevamiwa na wavuta madawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom