Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Status
Not open for further replies.
twambie ulitakaje?

Tunapenda kichwa na utumbo wa habari viandane, mfano mzuri:

Iran sends monkey into space

- The Islamic Republic of Iran has sent a monkey into space on a suborbital flight and returned it to Earth safely. On Monday, Iran launched the Kavoshgar Pishgam (Pioneer Discoverer) rocket, which took the primate to an altitude of 120 kilometers. 29/01/2013
 
Source Israeli Source Confirms Iran's Fordow Nuclear Plant Exploded

Israeli intelligence source confirms underground nuclear facility sustained major damage in a "mega explosion" last week.
By Chana Ya'ar First Publish: 1/28/2013, 11:15 AM



302440.jpg
Qoms Nuclear Site


chanzo cha habari kutoka Israel kimekili na kimethibitisha kuwa Kituo cha nyuklia cha chini ya ardhi nchini Iran ambacho ni kituo endelevu kimepata uharibifu mkubwa katika "mlipuko mkubwa" ambao ulitokea wiki iliyopita.

Kituo hichokilikuwa na kama angalau centrifuges 2700 za uranium iliyorutubishwa, kituo hicho kipo chini ya mlima ulio karibu na mji wa Qom Iran.

Baadhi ya wafanyakazi 200 waliokuwa ndani ya kituo wakati huo, kulingana na ripoti iliyochapishwa Jumatatu na, gazeti la Times la Uingereza.

Ripoti rasmi ilinukuliwa nchini Israel ilisema "Sisi bado tupo kwenye hatua za mwanzo za kujaribu kutafakari ni nini kilichotokea na kupanua wa umuhimu wake." aliongeza kuwa ilikuwa bado haijulikani kama mlipuko ulikuwa ni "kitendo cha hujuma au ajali ya kawaida."

Chanzo hicho kilikataa kudhihirisha kama ndege ya Israel ilikuwa katika maeneo ya jirani wakati wa mlipuko.

Iran imekanusha kwamba hakuna mlipuko wowote uliotokea katika kituo, wakidai katika taarifa kwa shirika rasmi la habari
IRNA kuwa ripoti ya mlipuko hiyo kuwa si ya kweli bali ni "propaganda za nchi za Magharibi."

Habari ya mlipuko huo iliripotiwa Ijumaa na tovuti ya nchini marekani WND.

Mimi nilidhani amelipua vya North Korea, hapo lazima ungewaka moto!
 
Habari ata sijui wameitoa wapi, nimeingi BBC sijaikuta, nimeingia CNN sijaikuta, na hata aloleta habari naona title ni tofauti na story. Katika story haijasema kama israel amepiga bomu bali ni kuwa kuna mripuko. Habari za kizushi bana :-D
 
Israel hana ubavu wa kusogelea Iran, mtabakia kuimba tu :biggrin1:

Waulize ilikuaje na Lebanon walejamaa wanaitwa Hizbollah waliwafanya nini israel? Maana kuna watu still wana akili zile za kitoto, kwakuwa amewapiga katika miaka ya 60 wakajua labda bado watakuwa na ushindi tu! Ata tanzania kama tukiamua asa kwenda kuwakumuta waisrael tunaweza. Ila kwakuwa nchi yetu imejawa na wajing.a na wapuuz.i ndio maana hatujiamini, na kuishia kuwa inferior na slaves!
 
Waulize ilikuaje na Lebanon walejamaa wanaitwa Hizbollah waliwafanya nini israel? Maana kuna watu still wana akili zile za kitoto, kwakuwa amewapiga katika miaka ya 60 wakajua labda bado watakuwa na ushindi tu! Ata tanzania kama tukiamua asa kwenda kuwakumuta waisrael tunaweza. Ila kwakuwa nchi yetu imejawa na wajing.a na wapuuz.i ndio maana hatujiamini, na kuishia kuwa inferior na slaves!
I often wonder if and when the majority of Israelis will wake up and smell the coffee burning!

Israel calculations has always been based on short terms gain, hawawezi vita vya siku nyingi ndo mana unaona siku hizi hata marekani kisha anza pata akili anaogopa kumsaidia.

Siku viongozi wa kiarabu watawacha kuwa vibaraka vya mmarekani, utaona map ya Israel itakavyo sambaratishwa :biggrin1:
 
Hebu jaribu hii,,,korea kusini ama marekani wanapojaribisha makombora chini ya ardhi kuna mtu anaumia? Underground,desert hayo maneno ungeyapigilia mstari coz ndi sehemu vinu vilipo mbali na makazi na sio juu tu ni undergroung,,source Baba V

I SUPPORT ISRAEL
Hayo makombora ya majaribio yanawekwa nuclear warhead?
 
We kalia hivyo hivyo kuwasikiliza wa Israel hao wanajulikana kwa uwongo toka zamani, watu walio mzulia Jesus kasema yeye Mungu na wakawavuruga watu akili ili wa-amini Jesus ni Mungu afu hao hao wakasema wamemua Mungu(Jesus) unadhnai hawawezi kusema uwongo.

Leta habari inayosema Israel kisha lipua huko usituletee kelele kama za kina Paul hapa.

PressTV - IAEA dismisses reports of explosion at Fordow nuclear facility

The International Atomic Energy Agency has dismissed Israeli and Western media reports claiming there had been an explosion at the Fordow uranium enrichment facility and stated that it had seen no sign of such an event at the Iranian nuclear site.


On Tuesday, IAEA spokeswoman Gill Tudor told The Associated Press that Iran’s denial of “an incident” at the Fordo plant is “consistent with our observations.”

On Monday, Iran categorically rejected the reports about an explosion at the Fordow nuclear facility.

MP Alaeddin Boroujerdi, who is the chairman of the Majlis (parliament) National Security and Foreign Policy Committee, described the news stories as Western propaganda designed to influence the upcoming round of talks between Iran and the P5+1 group (Britain, China, France, Russia, the United States, and Germany).

The Fordow nuclear facility, which is the second uranium enrichment plant that Iran established, is located in Qom province, 160 kilometers (100 miles) south of Tehran.

The United States, Israel, and some of their allies have repeatedly accused Iran of pursuing non-civilian objectives in its nuclear energy program.

Iran rejects the allegations, arguing that as a committed signatory to the nuclear Non-Proliferation Treaty (NPT) and a member of the International Atomic Energy Agency (IAEA), it has the right to use nuclear technology for peaceful purposes.

In addition, the IAEA has conducted numerous inspections of Iran’s nuclear facilities but has never found any evidence showing that Iran’s civilian nuclear program has been diverted to nuclear weapons production.

MP/HGL
Waarabu nao uongo ni kawaida yao hata Sadam alipokuwa anapigwa na majeshi ya marekani yakisonga mbele yeye alikuwa anautangazia ulimwengu kuwa kaua wamarekani wengi sana na ilipokaribiwa BAghdad akawa anatangaza kuwa kaburi la wamarekani litakuwa Mjini Baghdad... mwisho wa siku akafa kibudu iran itaficha sana wewe jiulize kwa nini sasa hivi kadhamiria kuunganisha waarabu tena waondoe wazayuni katika madaraka ya kidunia? na vitakuwa vita vya Dunia na Ismal itaanguka kabisa.... kwani haiko upande sahahi
 
Waulize ilikuaje na Lebanon walejamaa wanaitwa Hizbollah waliwafanya nini israel? Maana kuna watu still wana akili zile za kitoto, kwakuwa amewapiga katika miaka ya 60 wakajua labda bado watakuwa na ushindi tu! Ata tanzania kama tukiamua asa kwenda kuwakumuta waisrael tunaweza. Ila kwakuwa nchi yetu imejawa na wajing.a na wapuuz.i ndio maana hatujiamini, na kuishia kuwa inferior na slaves!
Mkuu unawaza kitoto sana... Hezbollar ni kikundi cha Kigaidi na Ili uwe Gaidi lazima upigane kama Guerrilla yaani mapigano ya Kificho na huyo unayepigana nae kwa asilimia zote huna uwezo wa kumface so Hezbollar hakufua dafu kwa Israel zaidi alifanikiwa kurusha makombora yake ambayo mengi yalizuiliwa na machache yalipenya na kufanikiwa kuua watu wachache sana ndani ya israel. Israel lazima aheshimike kwa kupigana na mtu aliyejificha hii kitu nchi nyingi haziwezi hata Marekani anapata shida sana huko Afghanstani kwani unakuta mtu ni raia ukipishana nae tu anatoa silaha ndani ya nguo anakupiga... so Hezbollah ni Gaidi elewa Vita ni baina ya Jeshi na Jeshi uso kwa uso... Ni muhumi ukafuatilia Madhara waliyopata Hezbollar na Lebanon kwani Israel alijua njia zote walizokuwa wanatumia Hezbollar na kila Kombora la Hezbollar linaporushwa eneo lile lile ndani ya 3 to 6 minutes Israel inaangamiza eneo lote msalie wa Hezbollar alitumia njia kuhamia maeneo ya raia akirusha makombora yake na israel alipokuwa anaangamiza hachagui kuna nani kwani hata mtoto vitani ukimkuta na silaha huyo ni adui... Ulimwengu uliiomba Israel Iache na Hezbollar wakapumua ila wangeisha Same to Gaza Side....

Kijana Vita si Mchezo wa Kishabiki kisa Dini yako ipo pande hizo Waisrael Wapo Juu Kutangaza vita lazima uwe Fiti sio Kubahatisha ati Unaomba Allah
 
Imekanushwa hata na IAEA ambao wana kamera ndani, sijui waishabikia kwa nini, au kila kinachosemwa na Israel ni ibada? Sikiliza habari za hao uwapendao wanavyowadunga sindano za kuzuia kizazi raia zao watu weusi ili wasiongezeke.
 
Imekanushwa hata na IAEA ambao wana kamera ndani, sijui waishabikia kwa nini, au kila kinachosemwa na Israel ni ibada? Sikiliza habari za hao uwapendao wanavyowadunga sindano za kuzuia kizazi raia zao watu weusi ili wasiongezeke.

Imekanushwa kuwa hakuna Mlipuko au Ndege za Israel Hazijaonekana huko? yaani Mtu akiwa na jina la kiarabu unadhania ni Ndugu yako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom