Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Kimenuka Israel Yalipua Kinu cha Nuclear Huko Iran....

Status
Not open for further replies.
Laiti saddam angekua bado hai, alikua anamtandika myahudi vibaya sana
 
We mkongoman tulia wewe, unadhani Irani ni M23 eeh! dogo usiangalie kwa wasiwasi tisa ukadhani sita
Yani mwambie ingekuwa ni rahisi kiasi hicho wangelikwisha lipua na kutumiatv yao cnn wewe irani habari nyingine ni kgb system na wanaintelejensia nzuri kuliko asia zote labda pakstan ndo maana wazungu wanashindwa kuingia!
 
Sasa unasema watu watabaki kuimba ngoja waje kuthibitisha wao sijui utaficha sura yako na jiwe au kopo la choo? zile hasira za kuwataka waisram wote duniani waungane na wasahau tofauti zake na waifute israel katika ramani hujagundua tu kama zilikuwa hasira na ameona hatomuweza Isrrael peke yake! wewe alifazaa vipi

mimi nachojua ni kuwa jumamosi iran walipiga mkwara kuwa WHOEVER ATTACK SYRIA IT WILL BE AN ACT OF WAR AGAISNT IRAN.
Kuna harakati zinaendelea tangu juzi huku syria ikijiandaa kuweka pigo la mwisho kwa waasi.ndege za kivita za iran zinaruka na kupaa toka uwanja wa ndege wa damusca na alepo wakileta fresh supply ya silaha na warusi nao meli zao zinashusha mzigo pale tartus .wakati huohuo marekani kaondoa warships na carrier zote toka hapo maeneo na carrier groups zote zimepaki marekani zikiwa hazina crews wako off kasoro USS STENIS iliyopo persian gulf.
Marekani ameshawambia israel na uturuki wajiandae kwa lolote ila yeye HAYUMO labda kwa mambo ya kushare intelligence na logistic ,mengine wao watakua upto them,in short kawaacha solemba.
 
Kwahiyo unadhania ikitokea Vita Israel atabaki peke yake? so atapigwa....! Hahahaha vita ni vita kila upande utaathirika ila muiran hawezi pata ushindi na kitakachofuatia ni israel kutanuka zaidi kwenye maeneo ya kiutawala iran ndie atakuwa kasabababishia wenzao wapate shida
 
mimi nachojua ni kuwa jumamosi iran walipiga mkwara kuwa WHOEVER ATTACK SYRIA IT WILL BE AN ACT OF WAR AGAISNT IRAN.
Kuna harakati zinaendelea tangu juzi huku syria ikijiandaa kuweka pigo la mwisho kwa waasi.ndege za kivita za iran zinaruka na kupaa toka uwanja wa ndege wa damusca na alepo wakileta fresh supply ya silaha na warusi nao meli zao zinashusha mzigo pale tartus .wakati huohuo marekani kaondoa warships na carrier zote toka hapo maeneo na carrier groups zote zimepaki marekani zikiwa hazina crews wako off kasoro USS STENIS iliyopo persian gulf.
Marekani ameshawambia israel na uturuki wajiandae kwa lolote ila yeye HAYUMO labda kwa mambo ya kushare intelligence na logistic ,mengine wao watakua upto them,in short kawaacha solemba.
Si unafahamu kama Uturuki ni mwanachama wa NATO, kama unafahamu hivyo nadhani hata ile slogan yao unaifahamu.
 
kweli jamaa ana mapenzi ya ......! mtu kaona kwenye post ya Israel news tiyari keshapost utumbo huo...Kwanini usimeki follow up ata ktk vyombo vingine vya habari? Kwanza kabisa kinu cha FORDO ni underground ata zile massive ordnance bomb za US wame prove haziwezi penetrate Iranian concrete...pili US wenyewe wamethibitisha kua ata hizo taarifa hawana kwani ata satellite images zingeonesha kwani kuna Satellite nyingi tu angani za hao jamaa kutake photo kwa tukio km hilo ni kugusa...Tatu km ingekua kweli vinu vimelipuka kwa bahati mbaya still satellite image zingepatikana...Nne Israel has no capability and will to invade Iran without US,UK,NATO ambapo US hataki kuburuzwa kwani km akifanya hivyo all US bases in middle east zitafutwa ktk uso wa dunia ndo maana analazimisha sanctions ile ishu nzima iwe solved diplomatically....Mwisho mtoa mada acha mapenzi ya kuku jaribu kua unafatilia kwani baba zako ni master of propaganda
tatizo uko mbali na operesheni za kijajusi ingawa una idea idea kidogo! unafikiria means moja tu ya kuharibu vinu vya nyukilia vya Iran. sio lazima kutumia missile ambayo ni overt operation...zipo covert operations. Mossad wana-recruit internal agents na mambo yanafanyika!
 
We mkongoman tulia wewe, unadhani Irani ni M23 eeh! dogo usiangalie kwa wasiwasi tisa ukadhani sita

Tell 'em!
Mchina na Mrusi wako nyuma ya Iran, wasifikiri ni suala dogo. It is a technological warfare
 
Iran’s underground Fordo nuclear plant was indeed hit by an explosion sometime last week, and Iranian officials suspect the Mossad or CIA as responsible actors, the former Iranian intelligence officer who initially broke the story said Monday.
In an interview with Channel 2 News, Hamidreza Zakeri surmised, however, that an Iranian “internal action” could also have been at play.
Some 240 people were working at the plant at a depth of 90 meters at the time of the incident, according to Zakeri. He said that the two elevators normally available for transfer to the surface are now out of order and it is unknown if workers were hurt or killed in the explosion.
Channel 2′s Middle East analyst Ehud Yaari said that the IAEA would know within days if a blast had actually occurred at the plant. According to Yaari, the UN nuclear watchdog has cameras placed at Fordo, which it inspects every seven to 10 days.
The explosion reportedly occurred last Monday, so if Iran doesn’t let the IAEA inspectors into the facility in the next two or three days “we’ll know something happened,” he said.
The White House on Monday dismissed reports that there was a blast at the facility.
“We have no information to confirm the allegations in the report and we do not believe the report is credible,” press secretary Jay Carney said. “We don’t believe those are credible reports.”
Israeli intelligence officials confirmed that a major explosion had rocked an Iranian nuclear facility, The Times of London reported. The British daily on Monday cited officials in Tel Aviv to the effect that the blast had occurred last week, as originally reported on the website wnd.com.
Iran is not believed to have evacuated the area surrounding the Fordo plant, according to the same Israeli sources, who said that an investigation into the blast was ongoing.
“We are still in the preliminary stages of understanding what happened and how significant it is,” one Israeli was quoted by the London Times as saying. He did not know if the explosion was “sabotage or accident” and refused to comment on rumors that Israeli aircraft were seen near Fordo at the time of the blast.
On Sunday, Israel’s Home Front Defense Minister Avi Dichter welcomed the report of the blast, saying, “Any explosion in Iran that doesn’t hurt people but hurts its assets is welcome.”

I SUPPORT ISRAEL
 
Alifazaa naona ushaanza kuchafua thread kwa mambo yako ya kidini kwani thread zinazohusu israel unafanya kusudi kuleta mambo ya kidini ili zifutwe kwanini usianzishe thread ya mambo ya dini Mods huyu jamaa hebu mfuatilieni Udini too much mie naweza kujibu yote ila nilishawahi kula ban so naomba utulie kwa Heshima kwako Mkuu
Matatizo yenu nyie ndo mnanzisha udini afu tukiwakosoa mnakasirika.

By Chimbuvu Who ever shall bless israel will be blessed,whoever shall curse israel shall be cursed
Nani aliye sema hayo si mkristo mwenzako sa ulitaka tukubaliane na propoganda za kina Paul.

F.Y.I; Mimi sijali kuwa ban kama taona kuna wapumbafu wanatuletea uwongo wakati wao wenyewe hawajui wanaisoma vipi bible....Hivi we unajua kama Paul alikuwa ni myahudi lazima aseme uwongo kuwa wayahudi ndo taifa la mungu.

Soma hapo chini.

PAUL, ST. (died c. A.D. 68), founder of Pauline Christianity. His name was originally Saul. He later claimed that he was a Jew of the tribe of Benjamin, from a long-established Pharisee family in Tarsus. According to Acts (though not according to Paul himself) he studied in Jerusalem under Gamaliel, the leader of the Pharisees and grandson of Hillel.

nizidi kukupa ukweli.
Jesus was not the founder of Christianity as we know it today. Most of the New Testament doesn't even concern the historical Jesus while the main influence is the Apostle Paul and through the church he founded at Ephesus a Greek convert named John. Paul never met Jesus in the flesh, he only claimed some spiritual visions and proceeded to Hellenize the teachings of Jesus (who preached a generic form of Judaism), until he created Pauline Christianity. Because there are no known writings from Jesus or His actual Apostles, most of what He really taught is remains controversial. Also see the disputed Gnostic Gospels.

Siku njema.
 
Nakuambia ukweli,,iran itatifuliwatifuliwa within a minute,,hujiulizi toka israel iteke maeneo ktk vita ya siku 6 mwaka 1967 imeyashikilia mpaka sasa hv na hakuna taifa la kiarabu lililoweza rejesha hiyo ardhi,,husikii sa hv iran inalialia kuwaambia mataifa ya middle east kumpiga israel,,kwa nini asiende yeye?haya sasa tushapiga chungu chake cha nuclear na watu waliokuwa ndani wamenasa,,sema lingine

Yani na wao wa Israel wanajua wazi pale kuna moto, Iran si lele mama :biggrin1:
 
Nakuambia ukweli,,iran itatifuliwatifuliwa within a minute,,hujiulizi toka israel iteke maeneo ktk vita ya siku 6 mwaka 1967 imeyashikilia mpaka sasa hv na hakuna taifa la kiarabu lililoweza rejesha hiyo ardhi,,husikii sa hv iran inalialia kuwaambia mataifa ya middle east kumpiga israel,,kwa nini asiende yeye?haya sasa tushapiga chungu chake cha nuclear na watu waliokuwa ndani wamenasa,,sema lingine
We kalia hivyo hivyo kuwasikiliza wa Israel hao wanajulikana kwa uwongo toka zamani, watu walio mzulia Jesus kasema yeye Mungu na wakawavuruga watu akili ili wa-amini Jesus ni Mungu afu hao hao wakasema wamemua Mungu(Jesus) unadhnai hawawezi kusema uwongo.

Leta habari inayosema Israel kisha lipua huko usituletee kelele kama za kina Paul hapa.

PressTV - IAEA dismisses reports of explosion at Fordow nuclear facility

The International Atomic Energy Agency has dismissed Israeli and Western media reports claiming there had been an explosion at the Fordow uranium enrichment facility and stated that it had seen no sign of such an event at the Iranian nuclear site.

On Tuesday, IAEA spokeswoman Gill Tudor told The Associated Press that Iran’s denial of “an incident” at the Fordo plant is “consistent with our observations.”

On Monday, Iran categorically rejected the reports about an explosion at the Fordow nuclear facility.

MP Alaeddin Boroujerdi, who is the chairman of the Majlis (parliament) National Security and Foreign Policy Committee, described the news stories as Western propaganda designed to influence the upcoming round of talks between Iran and the P5+1 group (Britain, China, France, Russia, the United States, and Germany).

The Fordow nuclear facility, which is the second uranium enrichment plant that Iran established, is located in Qom province, 160 kilometers (100 miles) south of Tehran.

The United States, Israel, and some of their allies have repeatedly accused Iran of pursuing non-civilian objectives in its nuclear energy program.

Iran rejects the allegations, arguing that as a committed signatory to the nuclear Non-Proliferation Treaty (NPT) and a member of the International Atomic Energy Agency (IAEA), it has the right to use nuclear technology for peaceful purposes.

In addition, the IAEA has conducted numerous inspections of Iran’s nuclear facilities but has never found any evidence showing that Iran’s civilian nuclear program has been diverted to nuclear weapons production.

MP/HGL
 
sio,bei vita itokee maana itakuwa na impact kubwa kwa wasiokuwa na hatia na ambao si mashabiki wa hiyo vita.
Lakini tumeona na kusikia mengi hata saddam alisema hawamuwezi na watu wakaamini baada ya vita akaishia jificha kilichofuata mnakifahamu, same to Iran hzio mbwembwe tu wakiingia vitani atapigwa sana tu.
Wajua ubaya wa china na urusi support yao inakuwa ya mlango wa nyuma hawakupi directly na wakigundulika wanastop yani hawawezi toa jeshi na vifaa hadharani wanatoa wamejificha kwa hiyo si wakutegemewa sana linapokuja suala la vita
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom