Kimenuka: Baraza la Wakulima Tanzania lawajia juu ACT-Tanzania

Kwel ACT wako juu yani kila eneo ni act act hapa napata picha kwamba mashabiki wa cdm wanakitangaz hiki chama,bila kujua
 
Kimenuka vipi sasa nani wa kupewa lawama kila mmoja yupo kisheria na anafanya kazi zake bila kuvunja sheria za nchi, hawa Baraza la Kilimo walikuwa wapi siku zote kupinga ilo jina.

wewe endelea kutoa mapovu mpaka hao vibaraka wenu watakapotundikwa mahakamani ndipo mtaelewa. kuna hatari ya chama cha ACT-Tanzania kufutwa kwa kukiuka taratibu za usajili. huo ndio ukweli usioweza kupingwa na mtu yeyote isipokuwa nyie mnaojitoaga akili.
 
Tatizo unakimbilia Ku comment soma habari yote wewe gamba.
ACT ya wakukima wana sema walisha andika baruwa kwa ACT ya zitto kuwambia that abbreviation inafanana na yao.
so what matters here ni kuangalia nani kamuingilia mwenzake,note that ACT wakulima sio political party,lakini ACT ya zitto ni political party .
note that ACT wakulima is a combination of different wakulima ambao ni members wa different political parties so zitto awaachie wakulima ACT yao.

asante mkuu. umetoa elimu mujarab sana kwa huyo gamba. unajua baadhi ya migamba huwa inajitoa akili kwanza ndipo inakaa nyuma ya keyboards zao.
 
Kimenuka vipi sasa nani wa kupewa lawama kila mmoja yupo kisheria na anafanya kazi zake bila kuvunja sheria za nchi, hawa Baraza la Kilimo walikuwa wapi siku zote kupinga ilo jina.

ACT chama kubwa ndo maana linakutana na vingingi,ili dhahabu iwe na thamani kubwa lazima ipitishwe kwenye moto,Diamond imekuwa formed under high pressure.Vitu vizuri haviji kirahisi.ACT kazeni kamba mwishowe mtasimama tu.

Majungu mengine haya Bana kama taarabu

Ujinga mwingine hauna kichwa wala miguu.

Wewe nipeleke popote upendapo mimi nachochea kuni kavu tu pale Ufipa.

Masikini CCM "yetu"! Watetezi wote wa chama sasa wamegeuka watetezi wa ACT-Tanzania sorry IMean ACT-wazalendo sasa tutabaki na nani? Labda Juliana Mfyonza pekee aliyewatukana vijana wa ACT-T pekee. Anyway, kama wanachosema watu kuwa ACT ni Idara ndani ya chama kubwa basi hamna shida.
 
Wewe ndiyo uelewewi kosa la ACT lipo wapi msajili wa vyama kawakubalia walitumie hilo jina. Unataka ACT wafanyaje?

Nasikia na hawa...

Traffic Light Protocol (TLP)

Wamemuandikia barua Mrema aache kutumia jina la TLP.

Wewe nawe kumbe zoba. Traffic Light Protocol nacho ni chama? Kimepata usajili wapi? Uwezo wako wa akili unafahamika hapa JF lakini sio that low!
 
Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?

Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?

Ndugu, historia ni mwalimu mzuri. Tulupoanza tena kuwa nq vyama vingi vya siasa 1995, kuna chama kilinyimwa usajili kwa kuwa kilijiita TANU japo kirefu chake haikuwa TANU ile tunayoifahamu. Sababu just do ur homework utapata majibu!!!!!
 
CCM wanapenda sana mijadala kama hii...

Wakati mnaendelea kuidiskasi ACT na CDM wao wanaendelea kuchanja mbuga...

Mwisho wa siku watu wataanza kulia tumeonea n.k
 
Masikini CCM "yetu"! Watetezi wote wa chama sasa wamegeuka watetezi wa ACT-Tanzania sorry IMean ACT-wazalendo sasa tutabaki na nani? Labda Juliana Mfyonza pekee aliyewatukana vijana wa ACT-T pekee. Anyway, kama wanachosema watu kuwa ACT ni Idara ndani ya chama kubwa basi hamna shida.

Huyo Juliana anachuki binafsi na mpuuzi aliyejiunga juzi coz alimuahidi kumuoa akamwacha kwenye mataa....
 
Huyo Juliana anachuki binafsi na mpuuzi aliyejiunga juzi coz alimuahidi kumuoa akamwacha kwenye mataa....

E bwana ee! Kweli MUNGU mkubwa! Sasa hiyo ndoa kama ingekuwapo wadhani mambo yangekuwaje? Fikiria,sumu ya cobra changanya na ya mamba kisha wape watu kwenye pombe huo msiba utakuwaje?
 
E bwana ee! Kweli MUNGU mkubwa! Sasa hiyo ndoa kama ingekuwapo wadhani mambo yangekuwaje? Fikiria,sumu ya cobra changanya na ya mamba kisha wape watu kwenye pombe huo msiba utakuwaje?

Teh teh teh ila Juliana kashapewa mume na CCM
 
pambaneni na limbu kwanza...mmeshindwa hata kufanya homework kujua kuna ACT nyingine!

Kama sikosei moja ni ACT na nyingine ni ACT TANZANIA huenda aliyewaruhusu alitumia vigezo hivyo. Jaribu kufuatilia makampuni mengi ya Utalii utakuta yametofautiana kwa herufi moja na yameruhusiwa Kisheria. Hudhani kama kuna udhaifu katika uliloandika? Kwanza Nembo ni nini, si LOGO? Huo ni ufupisho umefanana wa majina wakati maana zao ni tofauti.
 
Wewe ndiyo uelewewi kosa la ACT lipo wapi msajili wa vyama kawakubalia walitumie hilo jina. Unataka ACT wafanyaje?

Nasikia na hawa...
cheki ulivyo mbumbumbu kwenye maswala ambayo yako wazi kabisa..kwani traffic act protocol ni chama cha siasa au cha umoja wa watu fulani?
utachekwa wewe Gamba usiejue lolote .do your home work before yapping .

Traffic Light Protocol (TLP)

Wamemuandikia barua Mrema aache kutumia jina la TLP.
cheki ulivyo mbumbumbu ndugu,some times you need to do your home work before you comment such a rubbish in public.
Traffic act is a act,not a political party of a union..ndugu usiwe unakurupuka ,mkuu utachekwa.
 
kumekupambazuka vizuri kweli kweli kwaiyo kwenye lile banda lao pale kijito nyama waliko andika ACT MAKAO MAKUU YA WAHUNI ITABIDI WAFUTE?
 
Haijawahi kuwa na haitakaa iwe kuwa abbreviations zinazofanana kuwa kosa, kama majina ya taasisi hizo mbili yangefanana ingekuwa kosa lakini vifupisho...! Namshangaa hata huyo dr, hata hivyo sipo kuitetea ACT ya Zitto bali ni kuweka mambo sawa waungwana.
 
Wanaunga ungaaa jaman majina ciyapogo mengi tuu Kwa nn muingilie majina ya wenginee huu niuwiziii
 
Back
Top Bottom