Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

Abdul Said Naumanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
778
Reaction score
1,592
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya suala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

Screenshot_20240228-215009.jpg
 
Baraza la Mawaziri linakwama hilo la vijana litafanya nini?
Kupotezeana muda tu
Wewe kama kijana una 75% yakuchange hii Tz, sasa utachange vipi kama hauna sehemu yakusemea?

Na baraza la vijana halipo kisiasa kama baraza na mawaziri bali lipo kijamii #FungukaKijana.
 
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya swala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

View attachment 2919461
Leo ndo nimesanuka. Kumbe na sheria ilishapitishwaga aise. Hapa ndipo ninapo ichukiaga serikali ya CCM na nina uhakika vijana wengi hata hawaelewi chochote kuhusu umuhimu wa ili swala.
 
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya swala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

View attachment 2919461
Baraza la vijana au la uvsisiem? Kazi itakua ni moja tuu " kuupiga mwingi"
 
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya swala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

View attachment 2919461
Tumeshindwa kuukimbiza mwenge kama nchi huku CCM wakidai kuwa ni wao ndivyo baraza lilipokwama. Lilitaka kuanzishwa wakati wa Kikwete lakini CCM kupitia UVCCM ikahodhi mchakato wa uanzishaji, kilichofuata, Bismillah.., Mungu ametoa Mungu.....
Umoja wa Wanawake Tanzania pia CCM ilikwamisha.
 
Na sisi vijana tumekaa kimya tu. And I'm sure vijana wengi sana hawana uelewa wa uhumimu wa baraza hili, na wengine hata awafahamu kama kuna hii Sheria iliyolianzisha baraza hili. So sad😢.​
 
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya swala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

View attachment 2919461
"Wagawe uwatawale kirahisi". Baraza hili haliwezi kuwepo chini ya chama dola!
 
25th April, 2015 Serikali ya Tanzania chini ya Raisi Jakaya Kikwete ilipitisha sheria no 12 ya mwaka 2015 (SHERIA YA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA YA MWAKA, 2015) ambayo chini ya kifungu cha 4 cha sheria hiyo lilianzishwa Baraza la vijana la Taifa, lakini chaajabu mwaka wa 9 sasa bado Tanzania bara hatuna Baraza hilo.

Vijana tunahitaji majibu ya haraka kutoka serikalini kujua nini kinapelekea Baraza hili kutoanzishwa wakati Zanzibar wenzetu tayari wanalo Baraza ilo mwaka wa 6 sasa?

Nadhani ni muda sasa wa vijana kuamka na kuhoji kwapamoja juu ya swala hili kwani ni haki yetu kibinadamu na kisheria pia.​

View attachment 2919461
Nchi imejaa mabaraza hii mpaka inachosha.
Hilo Baraza lisipokuwepo vijana watapoteza ujana wao ?

Kwani mahitaji ya vijana yanatofautiana nini na mahitaji ya binadamu wengine wa Marika tofauti ?

Baraza la vijana litakuwa na kazi gani ya maana zaidi hadi iwe ajenda ya kitaifa ?
 
Sheria haitekelezeki hii
 
Hilo Baraza lisipokuwepo vijana watapoteza ujana wao ?
Hapana hawatopoteza ujana wao, ila ni muhimu kujua kuwa Baraza la Vijana Taifa limeanzishwa kwa madhumuni ya kuhakikisha vijana wanapata jukwaa la kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa, kujenga umoja, na kushauri serikali kuhusu maendeleo yao.

Pia Baraza la Vijana linatoa jukwaa la kipekee kwa vijana kujadili na kushughulikia masuala yanayowaathiri moja kwa moja. Hii inajumuisha elimu, ajira, ujasiriamali, na masuala ya kijamii na kiutamaduni ambayo yanaweza kuwa na athari kubwa kwenye maendeleo yao ya baadaye.​

Kwani mahitaji ya vijana yanatofautiana nini na mahitaji ya binadamu wengine wa Marika tofauti ?
Vijana kama kundi lina mahitaji yake maalum ambayo yanahitaji kushughulikiwa kwa njia tofauti. Kwa mfano, mafunzo ya ujuzi, fursa za ajira, na ushiriki katika siasa na maamuzi ni muhimu zaidi kwa vijana ili kuwawezesha kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya taifa.

Kwa hiyo, Baraza la Vijana si tu linawakilisha maslahi ya vijana, bali pia linachangia katika kujenga msingi imara kwa maendeleo endelevu ya taifa. Ni muhimu kwa vijana kuwa na sauti katika masuala yanayowaathiri, na Baraza hili linatoa fursa hiyo.​
Baraza la vijana litakuwa na kazi gani ya maana zaidi hadi iwe ajenda ya kitaifa ?
Baraza la Vijana Taifa lina kazi na majukumu muhimu ambayo yanaifanya kuwa ajenda ya kitaifa. Kazi hizi zimeainishwa katika kifungu cha 6 cha sheria inayolihusu Baraza na zinajumuisha:​
  1. Kuhamasisha na Kuendeleza Umoja na Utaifa: Baraza lina jukumu la kuhamasisha vijana kujenga umoja, utaifa, na kujitolea, ambayo ni msingi wa taifa imara.​
  2. Kuendeleza Tafiti na Kuchambua Data: Kazi ya Baraza ni kukusanya na kuchambua data kuhusu vijana, ili kutoa mapendekezo yenye msingi wa takwimu kwa maendeleo yao.​
  3. Kuendeleza Mahusiano ya Kimataifa: Baraza linakuza mahusiano kati ya mashirika ya vijana na vyombo vingine, ndani na nje ya nchi, yenye malengo yanayofanana.​
  4. Kuitangaza Sera ya Taifa ya Vijana: Baraza lina wajibu wa kuitangaza na kuendeleza sera zinazohusu vijana, kuhakikisha kwamba maslahi yao yanazingatiwa.​
  5. Kutambua na Kuendeleza Shughuli za Vijana: Baraza linatambua na kusaidia mipango na shughuli zinazohusu vijana, zinazoendeshwa na makundi mbalimbali ya kijamii.​
  6. Kuendeleza Usawa wa Jinsia: Baraza linahamasisha usawa wa jinsia miongoni mwa vijana, kuhakikisha kwamba hakuna ubaguzi wa kijinsia.​
  7. Kuendeleza Masuala ya Vijana Wenye Ulemavu: Baraza linazingatia mahitaji maalum ya vijana wenye ulemavu, kuhakikisha wanapata fursa sawa.​
  8. Kushauri Serikali: Baraza lina jukumu la kushauri serikali kuhusu sera na ajenda zinazohusu maendeleo ya vijana.​
  9. Kuanzisha Programu za Maendeleo: Baraza linaanzisha programu zinazoendeleza kilimo, elimu, fedha, teknolojia, jamii, na utamaduni.​
  10. Kuhamasisha Ushirikishwaji wa Vijana: Baraza linahamasisha ushirikishwaji wa vijana katika vyombo vya maamuzi na mashirika ya umma.​
  11. Kuhamasisha Ujumuishaji wa Ajenda ya Vijana: Baraza linahamasisha ujumuishaji wa ajenda ya vijana katika sera za taasisi na mashirika ya umma.​
Kwa kuzingatia majukumu haya, Baraza la Vijana Taifa linakuwa na nafasi muhimu katika kuhakikisha kwamba sauti na mahitaji ya vijana yanazingatiwa katika sera na mipango ya kitaifa, hivyo kuifanya kuwa ajenda ya kitaifa.​
 
Na sisi vijana tumekaa kimya tu. And I'm sure vijana wengi sana hawana uelewa wa uhumimu wa baraza hili, na wengine hata awafahamu kama kuna hii Sheria iliyolianzisha baraza hili. So sad😢.​
hata "awafahamu" kama....
awafahamu ni neno tofauti na hawafahamu, kwa lugha hizi hilo baraza litakuwa la vichekesho kwani maamuzi ya baraza hayataeleweka.
 
Kama ndo wabongo wote tukiwa tuna fikiria na kuwa ma Judgmental kama wewe hii nchi kamwe haiwezi kuendelea
 
Back
Top Bottom