Kimenuka: Baraza la Wakulima Tanzania lawajia juu ACT-Tanzania

Mbona hata sioni tatizo hapa hata kama jina litabadilika halitokiathiri chama hicho.Sasa nyie mnakuuuza mambo kimenukakimenuka nini sasa au wewe ndiye unaenuka.
 
Baraza la kilimo nawashauri mlumbane na msajili wa vyama lkn si ACT,halafu kama kwel hiyo nembo ni yenu kihalal basi ofisi ya usajili watakuwa na matatizo tena sio kidogo.
 
Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?

Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?
 
ACT chama kubwa ndo maana linakutana na vingingi,ili dhahabu iwe na thamani kubwa lazima ipitishwe kwenye moto,Diamond imekuwa formed under high pressure.Vitu vizuri haviji kirahisi.ACT kazeni kamba mwishowe mtasimama tu.
Jitahidi mama siku moja utafanikiwa.
 
Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?

Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?
Majambazi wakianzisha chama chao na kukiita CCM( Chama Cha Majambazi),Chama Cha Mapinduzi( CCM ) hawatalalamika?
 
Makosa ni ya ofisi iliyosajili siyo ya chama. Ikiwa hao baraza la kilimo waligundua kuingiliwa nembo yao walipaswa kulipeleka kwa msajiri na siyo kwa chama!

Kwamba pamoja na umaarufu na umakini anaopewa zitto hakujua kuwa kuna hilo baraza la wakulima? Sasa atakwenda kuwaomba wakulima wepi kana hawatambui?
 
Tatizo unakimbilia Ku comment soma habari yote wewe gamba.
ACT ya wakukima wana sema walisha andika baruwa kwa ACT ya zitto kuwambia that abbreviation inafanana na yao.
so what matters here ni kuangalia nani kamuingilia mwenzake,note that ACT wakulima sio political party,lakini ACT ya zitto ni political party .
note that ACT wakulima is a combination of different wakulima ambao ni members wa different political parties so zitto awaachie wakulima ACT yao.
Wewe ndiyo uelewewi kosa la ACT lipo wapi msajili wa vyama kawakubalia walitumie hilo jina. Unataka ACT wafanyaje?

Nasikia na hawa...

Traffic Light Protocol (TLP)

Wamemuandikia barua Mrema aache kutumia jina la TLP.
 
Kwani kifupisho ndio nembo? Kama nembo ya Agricultural Council of Tanzania na Hicho chama cha siasa ni moja, hapo ndio panaweza kuwa na tatizo lkn kwa kifupisho "ACT" hakuna tatizo lolote hapo zaidi ya huyo dr kujidhalilisha. Na ile "Allied Command Transformation " (ACT) nao Baraza la kilimo washtakiwe?

Na ile Australian Capital Territory (ACT) ?

Hivi Australia iko TZ, je na wao wamesajili? Kwa nini hicho chama chenu msikiite CCM-B
 
Anglican Church of Tanzania - ACT nao watawashtaki wote cause wao ndo wa kwanza.
 
Duh. Kumbe kuna chama cha wakulima,? Sasa faida ya hiki chama ni nini? Kugawana mishahara na marupurupu? Duh!!
 
Mbona hata kuigiza kwa kiingerezs tunapita ACT,SASA AU HAWA ACT UKUTE NDIO WANAACT HIVOOOO!!!
 
Back
Top Bottom