Kimeanza kunuka UKAWA, maneno ya Makwilo

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
DR.SLAA NI MUONGO,alicho zungumza ktk mkutano wa hadhara manzese sicho tulicho rumbana ktk sms.mimi nimemwambia.mhe.imetangazwa kuwa unakuja manzese ila ujue huku hakuna ukawa,chadema na cuf wote wamesimamisha sasa wewe kuja kubaliki matendo ya uvunjaji wa ukawa. DK.SLAA akaniambia nimpe muhtasari wa ukawa kata ya manzese.mimi nikamwambia kwani hao viongozi wa chadema wamekupa muhtasari? DK,SLAA akaniambia wewe makwilo ndio tatizo sasa utake usitake chadema watagombea tuu.mimi nikamwambia utadhalilika DK.SLAA akasema wewe una maslahi ktk cuf na mimi nina maslahi katka chadema.DK.SLAA amesema ktk mkutano kwamba cuf imevunja ukawa manzese na kusema chadema ilikuwa ya pili mitaa yote ya manzese na hata udiwani.maneno haya ya DK.SLAA niya uongo.manzese mitaa yote inaongozwa na ccm.na chama kilicho shika nafasi ya pili ktk sm/mitaa 2009 ni cuf.
 
Ovyoooooooò
 
MAKWILO NDO NINI?? ILO MIccm NDIO MLIKUWA MKILITAKA. MM NI CHADEMA DAMU DAMU LAKINI MTAA WETU AMESIMAMA WA CUF NTAMPA KURA YANGU KWANI KASIMAMA KA NIABA A YA UKAWA. CCM HAMPATI KITU ENDELEENI NA RAFU ZENU KULAZIMISHA K UKUBALIKA WKT HAMKUBALIKI.
 
Tuwaache wafu wazikane walianza na shetani watamaliza na shetani tuwasindikize waende salama.
 
aise unajua mbeya akikosa cha kusema humsema hata mkwewe sasa wewe umeshindwa kutafuta ponti itakayokiokoa chama chako kilichokufa kabla ya kuanza unadis ukwawa ambayo haihusiani na wewe
 
Ndiyo sababu ya kuundwa kwa ACTCCM hiyo, chama cha wasaliti wa Watanzania. Hujitambui kabisa wewe!
 
MAKWILO NDO NINI?? ILO MIccm NDIO MLIKUWA MKILITAKA. MM NI CHADEMA DAMU DAMU LAKINI MTAA WETU AMESIMAMA WA CUF NTAMPA KURA YANGU KWANI KASIMAMA KA NIABA A YA UKAWA. CCM HAMPATI KITU ENDELEENI NA RAFU ZENU KULAZIMISHA K UKUBALIKA WKT HAMKUBALIKI.
Utakuwa umerogwa si bure kwani aliyeleta mada ni mwanaccm? Kwa tarifa yako mleta mada ni mwanachadema mwenzako aliyeasi akahamia ACT.
 
hahaha Act imepita vijiji viwili bila kupingwa kijiji cha Facebook na kijiji cha jamiiforums na mitaa kibao kama mtaa wa great thinkers. mtaa wa jukwaa la siasa.mtaa wa jukwaa la mapenzi na jukwaa la dini
 
Nimejaribu kurudia mara tatu hata sijaelewa
 
Unataka bwana wa pili? Ila ninamke tafdhari.

DUH KWELI BUKU7 UNAZITENDEA HAKI. INAKUAJE MWANAMKE MREMBO KAMA WEWE UNASHINDWA KUIFANYIA USAFI K.. YAKO UNASHINDA KT MITANDAO UKIFANYA MIPASHO IFO CCM. NYAMA WEWe
 
Back
Top Bottom