Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
mkuu umekosea siyo pumba ni pumb.uUnajisikiaje kupost pumba..?
mkuu umekosea siyo pumba ni pumb.uUnajisikiaje kupost pumba..?
Unataka bwana wa pili? Ila ninamke tafdhari.
dr.slaa ni muongo,alicho zungumza ktk mkutano wa hadhara manzese sicho tulicho rumbana ktk sms.mimi nimemwambia.mhe.imetangazwa kuwa unakuja manzese ila ujue huku hakuna ukawa,chadema na cuf wote wamesimamisha sasa wewe kuja kubaliki matendo ya uvunjaji wa ukawa. Dk.slaa akaniambia nimpe muhtasari wa ukawa kata ya manzese.mimi nikamwambia kwani hao viongozi wa chadema wamekupa muhtasari? Dk,slaa akaniambia wewe makwilo ndio tatizo sasa utake usitake chadema watagombea tuu.mimi nikamwambia utadhalilika dk.slaa akasema wewe una maslahi ktk cuf na mimi nina maslahi katka chadema.dk.slaa amesema ktk mkutano kwamba cuf imevunja ukawa manzese na kusema chadema ilikuwa ya pili mitaa yote ya manzese na hata udiwani.maneno haya ya dk.slaa niya uongo.manzese mitaa yote inaongozwa na ccm.na chama kilicho shika nafasi ya pili ktk sm/mitaa 2009 ni cuf.
DR.SLAA NI MUONGO,alicho zungumza ktk mkutano wa hadhara manzese sicho tulicho rumbana ktk sms.mimi nimemwambia.mhe.imetangazwa kuwa unakuja manzese ila ujue huku hakuna ukawa,chadema na cuf wote wamesimamisha sasa wewe kuja kubaliki matendo ya uvunjaji wa ukawa. DK.SLAA akaniambia nimpe muhtasari wa ukawa kata ya manzese.mimi nikamwambia kwani hao viongozi wa chadema wamekupa muhtasari? DK,SLAA akaniambia wewe makwilo ndio tatizo sasa utake usitake chadema watagombea tuu.mimi nikamwambia utadhalilika DK.SLAA akasema wewe una maslahi ktk cuf na mimi nina maslahi katka chadema.DK.SLAA amesema ktk mkutano kwamba cuf imevunja ukawa manzese na kusema chadema ilikuwa ya pili mitaa yote ya manzese na hata udiwani.maneno haya ya DK.SLAA niya uongo.manzese mitaa yote inaongozwa na ccm.na chama kilicho shika nafasi ya pili ktk sm/mitaa 2009 ni cuf.
Utakuwa umerogwa si bure kwani aliyeleta mada ni mwanaccm? Kwa tarifa yako mleta mada ni mwanachadema mwenzako aliyeasi akahamia ACT.
huyu babu aache kugombana na watoto anajivunjia heshima.
mkuu umekosea siyo pumba ni pumb.u
Utakuwa umerogwa si bure kwani aliyeleta mada ni mwanaccm? Kwa tarifa yako mleta mada ni mwanachadema mwenzako aliyeasi akahamia ACT.
walewaleeeena bado
Ondoa unafiki na uongo..
Huna tofauti na mchawi
Vikwiro hivi viwili vimetokea wapi tena?ACT at work
Ondoa unafiki na uongo..
Huna tofauti na mchawi