Kimeanza kunuka UKAWA, maneno ya Makwilo

Kimeanza kunuka UKAWA, maneno ya Makwilo

DR.SLAA NI MUONGO,alicho zungumza ktk mkutano wa hadhara manzese sicho tulicho rumbana ktk sms.mimi nimemwambia.mhe.imetangazwa kuwa unakuja manzese ila ujue huku hakuna ukawa,chadema na cuf wote wamesimamisha sasa wewe kuja kubaliki matendo ya uvunjaji wa ukawa. DK.SLAA akaniambia nimpe muhtasari wa ukawa kata ya manzese.mimi nikamwambia kwani hao viongozi wa chadema wamekupa muhtasari? DK,SLAA akaniambia wewe makwilo ndio tatizo sasa utake usitake chadema watagombea tuu.mimi nikamwambia utadhalilika DK.SLAA akasema wewe una maslahi ktk cuf na mimi nina maslahi katka chadema.DK.SLAA amesema ktk mkutano kwamba cuf imevunja ukawa manzese na kusema chadema ilikuwa ya pili mitaa yote ya manzese na hata udiwani.maneno haya ya DK.SLAA niya uongo.manzese mitaa yote inaongozwa na ccm.na chama kilicho shika nafasi ya pili ktk sm/mitaa 2009 ni cuf.

Kwa hiyo wewe ni Makwilo na si Dotto C.?
 
Akitoka pacha Wa kwanza hufuatia Dotto anae beba kondo zima na aghalabu huwa hawana akili nzuri..... Kwetu usukumani hufuatia shija..... Nae akili huwa sawa na Dotto...

Act na ukawa wap na wap?
 
Hapo inawezekana ni mbinu ya kuwagonganisha wana ukawa! Kwa jinsi umoja huu unavyowindwa, sijui kama utafika mwakani.
 
Hv hii Act imeishia wap? Maana ckuhz sion tena ukipost ndo kishakufa sasa unadakia mambo yasiyokuhusu angalia usije pigwa chin ukavimba juu!!
 
Akitoka pacha Wa kwanza hufuatia Dotto anae beba kondo zima na aghalabu huwa hawana akili nzuri..... Kwetu usukumani hufuatia shija..... Nae akili huwa sawa na Dotto...

Act na ukawa wap na wap?

Ndoa chaliiii!
 
Hata CHADEMA ingekuwa na makosa kiasi gani; haibadili ukweli kuwa CCM imegeuka kuwa ya mafisadi. In short, makosa ya CHADEMA hayafuti makosa mengi saaanaaa ya CCM.
 
Back
Top Bottom