UKAWA kuumbuka, majimbo ya Dar yote kuangukia CCM

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kama kuna mwana UKAWA ana uhakika wa UKAWA kuchukua Jimbo lolote Dar aweke jiwe mimi naweka hela.

Nasema kwa kujiamini kabisa kwani haijawahi kutokea CHADEMA ikauzidi umaarufu wa CUF DA, hapa nina maana baada ya CCM chama kinachofuatia kwa umaarufu ndani ya DAR ni CUF.

Ndio maana maandamano mengi ya CUF hufanyikia na kufana ndani ya DAR.

Jimbo la Ubungo kwa mbali CHADEMA inaweza kuwa na umaarufu kutokana na uwepo wa wachaga ubaya ni kwamba UKAWA wamemsimamisha 'Mswahili' Said Kubenea ambaye hata afanyaje wachaga watamuhisi ni msaliti tu.

UKAWA ASILIA ile ya Dr Slaa, Lipumba na Makaidi(RIP) ingeweza kuwa na mpango wa kuepusha mgongano kati ya CHADEMA NA CUF lakini UKAWA MASLAHI hii ya Kingunge, Masha, Sumaye, Lowassa, Duni na Mbowe ambao wengi wao ni wanachama wa CHADEMA na CCM B haiwezi kuleta muafaka wa migongano hiyo.

CCM B imeiteka UKAWA na matokeo yake ni vurugu tupu kwa walio 'site'

Mbaya zaidi Matokeo ya Serikali za mitaa yanaibeba CCM na sio CHADEMA.

Waandamanaji wakubwa ndani ya DAR walikuwa ni masela wa CUF ambao Ukawa imewaweka pembeni na kuwaamini masharobaro wa kiboshoroad ambao kutwa wanakesha Whatsapp, hili ni pigo kwa mikakati ya UKAWA kuleta chaos Dar.

Kwa ufupi nawaandaa kisaikolojia UKAWA ili wajue walipoangukia na hivyo wajipange kwa baadae.

TUKUTANE 2020 KWANI 2015 NI MAGUFULI!
 
Kama kuna mwana Ukawa ana uhakika wa Ukawa kuchukua jimbo lolote Dar aweke jiwe mimi naweka hela!

Nasema kwa kujiamini kabisa kwani haijawahi kutokea Chadema ikauzidi umaarufu wa CUF DAR..!Hapa nina maana baada ya CCM chama kinachofuatia kwa umaarufu ndani ya DAR ni CUF.

Ndio maana maandamano mengi ya CUF hufanyikia na kufana ndani ya DAR.

Jimbo la ubungo kwa mbaali chadema inaweza kuwa na umaarufu kutokana na uwepo wa wachaga ubaya ni kwamba Ukawa wamemsimamisha 'Mswahili' said kubenea ambaye hata afanyaje wachaga watamuhisi ni msaliti tu.

UKAWA ASILIA ile ya Dr Slaa,Lipumba na Makaidi(RIP) ingeweza kuwa na mpango wa kuepusha mgongano kati ya CHADEMA NA CUF lakini UKAWA MASLAHI hii ya Kingunge,Masha,Sumaye,lowassa,Duni na Mbowe ambao wengi wao ni wanachama wa Chadema na CCM B haiwezi kuleta muafaka wa migongano hiyo.

CCM B imeiteka UKAWA na matokeo yake ni vurugu tupu kwa walio 'site'

kwa ufupi nawaandaa kisaikolojia IKAWA ili wajue walipoangukia na hivyo wajipange kwa baadae.

TUKUTANE 2020 KWANI 2015 NI MAGUFULI!!

Sijui kwann hakuna kitufye/kibutton cha 'DISLIKE'?
 
12112021_10203843449044939_3892930852088265146_n.jpg
 
Hongereni....
 
jina lako lina reflect ulichokiandika,,, elimu bure itakusaidia
 
usisahau cuf ndo ukawa

Bendera zilizojaa hapo Dar ni za CCM na Chadema baada ya Chadema kuuteka UKAWA.

SASA KWA TAARIFA YENU CUF wanawaangalia tu na mbwembwe zanu za kuimaliza na adhabu yake mtaiona keshokutwa.

Kumbuka kuna migogoro mingi ya wagombea ubunge na udiwani juu ya nani hasa asimame kama mgombea wa Ukawa na hili halikupatiwa ufumbuzi na wenye vyama zaidi ya ubabaishaji wa VIONGOZI WA JUU.

Magdalena Sakaya alishalitolea tamko hili mkampuuza na kumuona msaliti sasa yatakayowakuta ni kilio na mkileta fujo kichapo!
 
Back
Top Bottom