Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,131
Kuna mtaa huko Tandika maeneo ya Davis corner hatari.
Sehemu za nyuma mabinti wanauza mpaka kwa sh. Elfu 1. Yaani ile afutatu unapata mademu 3 unawafanya sehemu za nyuma .
Serikali iwaondoe Mijini vijana wote wa kike na kiume wasio na kazi rasmi.
Iwapeleke kwenye mashamba maalumu ya kimkakati. Uhitaji wa chakula barani Afrika na duniani bado ni mkubwa.
Tumeshindwa kwenye Sayansi na teknolojia ili kukuza viwanda basi tujikite kwenye kilimo ambacho hakihitaji utaalamu wa juu sana.
Hawa mabinti wanaouza kwa elfu moja na vijana wanaobeti kisha wakipata pesa wanaenda kuzini wahamishwe Mijini.
Kila kijana akipewa ekari 2 vitendea kazi na ruzuku ya mbolea pamoja na pesa ya kula awapo shambani bila kusahau kuwaajiri maafisa ugani ambao watakuwa wanapita shamba hadi shamba.
Nchi itasonga mbele, vijana watasonga mbele.
Wawekezaji wataweka viwanda nchini wakiwa na uhakika wa malighafi.
Fedha za kununua ndege 4 tu za abiria zingechepushwa kwa kuanzisha mashamba ya kimkakati taifa hili lingemiliki soko la chakula barani Afrika.