TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
***** huu!!, eti member wa CHADEMA, hizo bendera za kijani zinafanya nini kama ni mkutano wa CHADEMA?Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
Ngoja nikusaidie picha za watoto....
Huyu ni nani? Kuna Cheo kama hiki Chadema? Mwanafunzi wa Chuo Kikuu uandishi wako unatia shaka... sembuse ukweli wa taarifa yenyeweOk,nitaweka picha uone wanafunzi wa Nursery walivyorundikana kwenye mkutano wa Naibu k/mkuu na k/mkuu uenezi.
kelele zote ambazo zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha mkonge,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa cdm. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya cdm.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
my take:
-kesheni mukiomba wa cdm cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya tz.
-wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Ok,nitaweka picha uone wanafunzi wa Nursery walivyorundikana kwenye mkutano wa Naibu k/mkuu na k/mkuu uenezi.
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
Nilidhani JF ni ya Great Thinkers tu, kumbe hata low thinkers pia wamo! Hebu mtazameni huyu gamba; mkutano ufanyike kwenye vijiji anataka uhudhuriwe na maelfu ya watu. Hilo linawezekana tu kwa Chama cha Mafisadi na vibaka a.k.a. CCM na maswahiba zao (Jina kapuni) wenye tabia ya kusombelea watu toka mamia ya kilometa ili wakaongeze idadi ya wahudhuriaji kuridhisha wapiga picha. Poleni magamba na "Haki si Sawa kwa wote" mpoooo?Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Ngoja nikusaidie picha za watoto....
Kelele Zote ambazo Zitto,mnyika,pro-cdm mulizokuwa munapiga kuhusu mkonge nilijua wananchi wa Tanga wapo upande wenu kumbe kimbelembele chenu ndicho kilichokuwa kinawasumbua.
Wananchi wa Tanga hawapo tayari kuhusika kwenye kilimo cha MkONGE,ushaidi wakimazingira unaonesha wazi kabisa jinsi wananchi walivyokataa kuitikia kwenye mkutano wa CDM. Picha zilizooneshwa kwenye media mbalimbali utagundua ninachonena.
Kwanza, mkutano uliuzuliwa na watu wachache,tofauti na mikutano mingi ya CDM.
Pili,hata hao tunaosema ni wachache kwenye uchache wao huohuo watoto wadogo ambao hawawezi kupiga kura hata baada ya 2015 kufikia ndio walikuwa weng kuliko hao watu wazima.
My take:
-kesheni mukiomba wa CDM cha chenu kiwe na mvuto sehemu mbalimbali ya Tz.
-Wabunge wenu wasipende kutia chapuo vitu ambavyo hawajafanyia uchunguzi.
Hata hivyo watu wa tanga hawapendi kujishuhulisha so ni raisi kuwapuuza watu wanaowaendea kwa nia ya kuwashawishi wajishuhulishe ila ingekuwa wanawapa mbinu za kuongeza wake wangewaunga mkono
Da huyu sio Jamaa Wa maliasili na utalii kweli. Ha ha haaaaaa AMA kweli!Ahh, huyu hapa member mwingine wa CHADEMA akiongea na watoto. Kweli watoto ni Mungu, wapigie magoti.
ebana mtoa hoja kaishia wapi? mbona baada ya ushahidi jamaa kachoma?