Uko Vema SanaHuu ndo muonekano wa jini la pyongyang wakat wa usiku
tumezoea propaganda za magharibi hii nchi inaonekana imesonga mbele sana
nimependa umeongea kisomiWatu wanamiliki nyuklia vipi wasiwe na maendeleo?
umenena vama ila tupe chanzo tupate nguvuKamjini kadogo kama Manzese... budget ya ulizi NK kwa mwaka hajiwai zidi dolla billion 3....wakati USA haijawai bungua dolla billion 550. Tafakari
Weka na reference kidogo mkuuKamjini kadogo kama Manzese... budget ya ulizi NK kwa mwaka hajiwai zidi dolla billion 3....wakati USA haijawai bungua dolla billion 550. Tafakari
Teh Teh sio decorations hizi mmh
Pyongyang city..
Decorations Za Wikipedia hizi
Pyongyang city..
Duh!!!.nimependa umeongea kisomi
Mr. kiduku bila shaka atapalinda vema na MOAB
Pyongyang city..
Hapajaendelea ni kama kigoma tu...Kwa hiyo hayo majengo ndio unaona jiji limeendelea? Poor u
Mtu anayeitetea Us hana tofauti na anayetetea ccm (dhuluma).Kamjini kadogo kama Manzese... budget ya ulizi NK kwa mwaka hajiwai zidi dolla billion 3....wakati USA haijawai bungua dolla billion 550. Tafakari