Killi Music Awards

Killi Music Awards

Oyoooooo.Na hizi tuzo za mwaka huu ndio most awaited awards!
Njooni sasa tuanze kujiandaa kupiga kura wakati utakapofika. Mdakuzi Matola Avemaria atoto geniveros cute b Abou Saydou Athen Diva Beyonce lukelo sakafu mnyepe na Kiba fans wote.

Teeenaaaaa!! Naionea huruma pochi yangu mwaka huu


Oyoooooo.Na hizi tuzo za mwaka huu ndio most awaited awards!
Njooni sasa tuanze kujiandaa kupiga kura wakati utakapofika. Mdakuzi Matola Avemaria atoto geniveros cute b Abou Saydou Athen Diva Beyonce lukelo sakafu mnyepe na Kiba fans wote.
 
Last edited by a moderator:
So bad Yamoto band wamepata nominations mbili tu japo wametamba sana mwaka huu.
Too bad kwa Rich Mavoko pamoja na kujitahidi sana ila sijaona akipata nominations hata 1! Wimbo wa pacha wangu na video yake vilistahili hata kupata tuzo moja!

Yaani huyu mavoko sijui ni kitu gani yaani baasi tu
 
mo music hayupo upcoming artist.... ni sawa?

Yaani hata mie nimeshangaa!! Hao walotajwa hapo hataaa siwajui ndio kwanzaaa nimewackia, i neva expected mo music kukosekana hapo aiseeee!!
 
Yaani hata mie nimeshangaa!! Hao walotajwa hapo hataaa siwajui ndio kwanzaaa nimewackia, i neva expected mo music kukosekana hapo aiseeee!!

Hiyo tuzo naona kaandaliwa Baraka Da Prince. Ila jamaa anajitahidi hata hivyo.
 
Young Killer
Mavoko
Shilole
Hivi hata best Naso nae si anaruhusiwa kushiriki?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Uonevu mkubwa kwa YAMOTO BAND na RICH MAVOCO, Upendeleo mkubwa kwa JUX. Hivi Roma amehit na wimbo gani hadi kuingia kwenye mwanahiphop bora wa mwaka? Shilole kasahaulika kabisa, ingawa simpendi ila kafanya vizuri kwa upande wa wanawake.Billnas kawekwa kwenye upcoming artist halafu Mo Music kakosekana? Hivi hawa waandaaji wanapofanya nomination wanakuwa wamekunywa bangi?Nitaendelea.....

mkuu ulipendekeza jina?
wingi wa mapendekezo ya watu ndio umeamua iwe hivyo.
 
Kama namuona vile Diamond anavyonyakua tuzo sita
 
Kweli Mavoko wamemuonea kwani ni mkali na hajawai niangusha ila kwa upande wangu ni mshindi japokua hajatokea kwenye nomination
 
Mmmh ndio nani tena huyo? Hata cmjui kwakweli

Wimbo wake ulomtambulisha mwanzo wakati anajiita baraka unaitwa SIO FINE.Aliimba;

Ukaona sina thamani kwa penzi langu ukaniacha naliaaa,
na unyenyekevu niloonyesha,kubembelezwa ukakataa,
Sikufa moyo nikaona bora nikufate mumylabda utapokeaa,kwa aibu,Mipango yangu ikagomaa barabara matusi,mate ukaniteemaa
Nami kwa maombiii,nikafunga nikiomba ili mradi uwe wanguu,
Nilpobisha hodii,moyo ukaufunga na ukakana penzi languuu.

Baby so fineee,so fineee!!

Na kichupa kipya kinaitwa SIACHANI NAWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom