elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Ilikuwa haitangazwi na nadhan imesitishwa kwakuwa imeanza kuwa maarufuBando la chuo au? Mbona wengine atukujua hiyo ofa
Ilikuwa haitangazwi na nadhan imesitishwa kwakuwa imeanza kuwa maarufuBando la chuo au? Mbona wengine atukujua hiyo ofa
Iyo ya voda gb3 kwa siku 5 unaungaje mkuuNa voda gb3 kwa siku 5 tsh 2000
Offer za voda unafanyaje mkuu kuzipata?Njoo Voda hakuna shida
Ukiwa Voda utazijua tu.Offer za voda unafanyaje mkuu kuzipata?
*149*03#Iyo ya voda gb3 kwa siku 5 unaungaje mkuu
Ushampiku JoseverestNimetumiwa muda sio mrefu.Maisha yanazidi kuwa magumu
Mambo ya mke yanatoka wp ss mbona unatoa mifano ambayo ni non sense jibu ulichoulizwa bas!Ukiwa Voda utazijua tu.
Huwezi kuwa na Mke usijue utamu wake mpaka ukamuulize jirani yako!
hata mi nimeipata hapa tigo wanaonekana wanatoa hiz ofa kwa kuchagua halafu ukiwa mnunuzi wa vifurushi vikubwa hupewi ofa hizi hovyoo kweliBando la chuo au? Mbona wengine atukujua hiyo ofa
Nina saidia watu kupunguza na kubana matumizi na gharama za kupiga simu na gb nyingi za internet ili uwe unapata dakika nyingi na gb nyingi kwa hera kidogo pata
Sikuhz Tigo hadi vifurushi vya chuo wameviondoa vyote tena kwa wote yaani wale wanafunzi wa chuo plus wale waliokua wanasajiliwa na laini za chuo.Maisha yanazidi kuwa magumu kwa watumiaji wa data saahz kifurushi cha Tigo cha being ya chini ni 3000 kwa wiki duuuh