hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,678
- 15,369
Pamoja boss.Nimeipata boss
Pamoja boss.Nimeipata boss
Na voda gb3 kwa siku 5 tsh 2000Nishawakimbia kitambo.
Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.
Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.
Tatizo Airtel speed yao ni ya konokonoNishawakimbia kitambo.
Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.
Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.
siyo GB 1 ni MB500Tigo 1500 unapata gb1 dk165 5mitandaoyote&sms bila kikomo kwa siku7 piga*148*00# chagua university ofa
Kuna vocha special Za chuo,ukienda dukani uliza vocha Za chuo AirtelMkuu huo muamala wake uko vipi put details nijiunge chap
Shukrani mkuuSoma post #30.
Nimeelekeza.
vITU vingine vya ajabu sana
Tigo 1500 unapata gb1 dk165 5mitandaoyote&sms bila kikomo kwa siku7 piga*148*00# chagua university ofa
walipunguza ndugu tena awamu mbiliTigo 1500 unapata gb1 dk165 5mitandaoyote&sms bila kikomo kwa siku7 piga*148*00# chagua university ofa
ukitaka kuangalia salio unaangaliaje?ukishajiunga na umepata hizo mb..?Unanunua vocha ya buku unafanga hv *104*vocha*03# inaingia na kukuunga mb 1200 wanakata 600
*104*01#ukitaka kuangalia salio unaangaliaje?ukishajiunga na umepata hizo mb..?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] umeacha kuangalia maelekezo unaagalia flosinaMkuu uyo Flosina ni manzi?
sas ww kote huko ulijuaaej mkuu*104*namba za vocha ya buku*03#
Bando la chuo au? Mbona wengine atukujua hiyo ofaUnanunua vocha ya buku unafanga hv *104*vocha*03# inaingia na kukuunga mb 1200 wanakata 600
Sasa utayaelewaje wakati ww unatumia hilo lisim la mezani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora iishe maana matumiz yake nilikuw siyaelew!!!!!!