Hiyo ofa kwanza unajiungaje mbona wengine hatuipati
Unanunua vocha ya buku unafanga hv *104*vocha*03# inaingia na kukuunga mb 1200 wanakata 600Hiyo ofa kwanza unajiungaje mbona wengine hatuipati
ngoja nijaribuUnanunua vocha ya buku unafanga hv *104*vocha*03# inaingia na kukuunga mb 1200 wanakata 600
na inadumu kwa muda gani hizo MBUnanunua vocha ya buku unafanga hv *104*vocha*03# inaingia na kukuunga mb 1200 wanakata 600
How?Nishawakimbia kitambo.
Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.
Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.
Mkuu hii ofa unaipatajeNishawakimbia kitambo.
Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.
Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.
24 hours tuna inadumu kwa muda gani hizo MB
Mkuu huo muamala wake uko vipi put details nijiunge chapNishawakimbia kitambo.
Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.
Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.