Kilio; Ofa ya GB1 kwa 600 kuisha Juni 30

Kilio; Ofa ya GB1 kwa 600 kuisha Juni 30

Tigo wahuni ehe mbona universirty offer yangu iko hivi
053e95e52f8275e4b57d1cf881ed86ef.jpg

Mkuu uyo Flosina ni manzi?
 
Nishawakimbia kitambo.

Kwanini niangaike na ofa ya 1GB kwa 600 ndani ya masaa 24.

Wakati kuna airtel napata 2GB dakika za kumwaga na sms juu kwa siku 3 kwa shilingi elfu moja tu.
Unajiungaje mkuu
 
Unajiungaje mkuu
Unachotakiwa kufanya ni kuweka shilingi elfu moja kwenye airtel money yako.

Piga *150*60# kupata menu ya airtel money.

Chagua namba 6(ofa kabambe).

Kisha bonyeza 1.

Utaletewa menu ya vifurushi.

Chagua namba 3, hapa utaletewa vifurushi vya UNI na utachagua unachopendelea.
 
Noma sana.. Tutanza nunua mb 200 kwa buku si mchezo
Kama unatumia Airtel Basi hakuna shida, Menu ya Airtel UNI *149*81# chagua 4.UNI mpya the rest is up to you.Airtel is the best na airtel UNI uzuri wake hakuna longolongo wala issue ya kwenda karibu na minara ya chuo kuunga bando,ni ww na Menu ya airtel UNI(*149*94#) popote ulipo tu
 
Back
Top Bottom