Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Umenichekesha. Sasa tunawataka wageukie suala hili muhumu kwa maisha ya wananchi.wako busy na swala zitto
Sasa tuanzie wapi, maana suala hili linagusa wengi. Swali ni nani ataratibu kupinga kupanda kwa bei ya umeme?. Sisi tunawalipa mishahara wanasiasa kupitia kodi tunazotoa. Kuna ruzuku kwa vyama vya siasa, wasifikiri wanalipwa bure. Sasa wawajibike ili kwa pamoja tupinge kupanda kwa bei ya umemeTangu lini aliyeshiba akamjua mwenye njaa!? Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe, bila Watanzania kuja juu na kuukataa huu mfumo dhalimu wa MACCM hali ya maisha kwa Watanzania walio wengi itazidi kudidimia. Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.
Nimeshangazwa sana na ukimwa wa wanasiasa kuhusu kupanda kwa bei ya umeme. Ifike mahali wanasiasa wawajibike kwa wananchi dhidi ya ugumu wa maisha kila kukicha. Kupanda kwa eni ya umeme kutasababisha ugumu wa maisha na mfumko wa bei hivyo kuimarisha umaskini kwa wanachi. Au ni maandalizi ya uchaguzi mwaka 2015 ili kuwahonga kirahisi watu chumvi, kanga na sukari kwa sababu ya ugumu wa maisha?
Wanaotukana ni wale wanaokula kuku kwa mrija, siyo wananchi wa kawaida.Wanasiasa pekee wanaoweza kusema juu ya bill ya umeme ni Chadema sasa nyie kila mnawatukana mara Babu , mara hawana shule , mara Saccos sasa you face it .Maana wao wana pesa they can afford wako kimya tuumie wote .Wanaungana na wabunge wa CCM kukaa kimya .Si ni Saccos ? Tafuteni isiyo saccos iwasemee .
natamani bei ingepanda 2015
Tangu lini aliyeshiba akamjua mwenye njaa!? Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe, bila Watanzania kuja juu na kuukataa huu mfumo dhalimu wa MACCM hali ya maisha kwa Watanzania walio wengi itazidi kudidimia. Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.
Ask not what your Country can do for you ask what you can do for your Country. - John F. Kennedy