Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,668
- 9,521
Kwa hiyo mwanangu ukipiga chafya ukabumba mdomo macho yanaweza kuchomoka sio 😃😃😃😃😳😳😳😳😳Mi yangu ya Kabudi cha mtoto linatoka linarudi. We tumacho twako tudogo kama twawachina? Mpaka unaona ya IGP makubwa kuliko yako?