Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,726
- 5,442
Sigara zinaharibu watu kweli kweni unalazimishwa kuvuta?Sigara zina hela sana, Sidhani ka sirikali watakuelewa kwa hili.
Ila ni bora wapige marufuku sigara afu waruhusu cannabis kwa sheria na utaratibu maalumu. Ukweli sigara zina haribu sana watu.
Kama yapi?Tumbaku pia ina matumizi mengine tofati na sigara
Situmii sigara wala cannabis ila mazingira nilipo kuna wavuta sigara vijana wengi sana na baadhi naona wanalalamika vifua vinawabana na wanakohoa sana usiku.Sigara zinaharibu watu kweli kweni unalazimishwa kuvuta?
Tatizo bado ni la hao vijana wenyewe maana madhara ya uvutaji sigara yanajulikana sasa kama waliendelea kuvuta walikua wanategemea nini?Situmii sigara wala cannabis ila mazingira nilipo kuna wavuta sigara vijana wengi sana na baadhi naona wanalalamika vifua vinawabana na wanakohoa sana usiku.
Tatizo bado ni la hao vijana wenyewe maana madhara ya uvutaji sigara yanajulikana sasa kama waliendelea kuvuta walikua wanategemea nini?
Unaweza kutaja madhara yake ndugu?Hata ngano Ina madhara
Yapo mazao mengine mengi mbadala wa tumbaku na yanalipa sanaUnataka walima tumbaku wakale wapi?
Hata bangi ina matumizi mengine pia, lakini imepigwa marufuku.Tumbaku pia ina matumizi mengine tofati na sigara
bangi imepigwa marufuku wapi mkuuIkiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake?
Kama tumepiga marufuku matumizi ya bangi, tunashindwa nini kupiga marufuku matumizi ya tumbaku?
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, matumizi ya sigara/tumbaku husababisha vifo vya watu zaidi ya MILIONI NANE kwa mwaka. Kiwango hiki ni kikubwa sana kusababishwa na jambo linaloweza kuepukika.
Kuna nchi zinaruhusu bangi kulimwa, kwa matumizi mengine.Hata bangi ina matumizi mengine pia, lakini imepigwa marufuku.