Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 4,726
- 5,442
- Thread starter
- #21
Na huo moshi wa sigara, akiuvuta asiyevuta, bado una madhara kwake pia. Takwimu za wanaokufa kwa kuvuta moshi wa sigara pasipo kuvuta sigara inafikia watu milioni 1.2 kwa mwaka dunia nzima.Situmii sigara wala cannabis ila mazingira nilipo kuna wavuta sigara vijana wengi sana na baadhi naona wanalalamika vifua vinawabana na wanakohoa sana usiku.