Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,559
- 45,048
Ndiyo inawezekanaKwa hiyo mwaka mmoja tu unaweza kuingiza pesa nzuri
Ndiyo inawezekanaKwa hiyo mwaka mmoja tu unaweza kuingiza pesa nzuri
Ulikuwa mwaka wa neemaMkuu,
Nadhani mwaka huu wakulima wa vitunguu mmetajirika. Huku tulipo 1kg ni Tsh.5000
Mbegu za vitunguu zinakuwa ni vipunjepunje, unazisia kwenye kitalu zinaanza kuota baada ya hapo unaanza kuzipandikiza kwenye shamba ambalo tayari lilishaandaliwaHiv mbegu ya vitunguu ni nini? Ni vitunguu vyenyewe au??
Songea mashamba meng Kaka hata ukihtaj leo unapataKuna mtu aliniambia Singea mashamba yameisha bei imekuwa juu hivyo akanishairi nisogeze huko namtumbo ni kweli?
Ishu ni bei Iko je?Songea mashamba meng Kaka hata ukihtaj leo unapata
Mambo ya ukulima wa mboga nayajua japo siyo kwa kiwango cha biashara. Nyumbani nimelima sana bustani.Songea mashamba meng Kaka hata ukihtaj leo unapata
Hayajafwekwa Bei kuanzia 70 kwa hekariIshu ni bei Iko je?
Ahsante Sana kakaMambo ya ukulima wa mboga nayajua japo siyo kwa kiwango cha biashara. Nyumbani nimelima sana bustani.
Nakushauri ufanye hivi. Baada ya kupata ushauri wa jumla hapa jaribu kufanya haya. 1. Je sehemu unayotaka kufanya kilimo kuna watu wanalima vitunguu? Kama wapo basi wao wanaweza kukupa uzoefu mzuri sana kwa kuongea nao. Usihofu kuulizia kwani wakulima ni kundi la watu wenye roho nzuri sana kwenye kuelimishana na kuonyeshana connection, siyo kama wafanyabiashara wanaozibiana riziki. Kama hamna walima vitunguu jaribu kuchunguza ni kwa nini. 2. Usianze kwa kulima sehemu kubwa. Anza na pilot study. Nununua eg mbegu za aina tatu tofauti, na uzipande kwenye bustani ndogo ndogo eg kila aina ya mbegu iwe na bustani tano, kwa hiyo utakuwa na bustani 15. Otesha na tunza bustani zako kwa uangalifu mpaka utakapovuna. Mavuno yako yatakupa uzoefu na mwelekeo wa kilimo. Unaweza kupiga hata mahesabu kwa kutumia hizo bustani kujua kama utalima heka moja au mbili utategemea kuvuna kiasi gani na ni mbegu gani inazaa zaidi, ina magonjwa zaidi, na ina bei nzuri. Ni kiasi cha kugawanya tu heka moja inachukuwa bustani kama ulizolima kiasi gani.
Njoo Namtumbo mzee mashamba yapo ya kutoshaKuna mtu aliniambia Singea mashamba yameisha bei imekuwa juu hivyo akanishairi nisogeze huko namtumbo ni kweli?
Nakuja huko May maana ndio mwenyeji wetu atakuwepo. Ila nasikia Tembo huko wakekuwa balaaNjoo Namtumbo mzee mashamba yapo ya kutosha
Hiyo sio mbaya inastahimilikaHayajafwekwa Bei kuanzia 70 kwa hekari
Uko sawa ndg, na kingne epuka kulima zao linalolimwa na kila mtu sababu kinakuwa halina thamn mfn mahind hata kijana mdogo analima njoo kwenye mauzo ad unakata tamaa.Hii mada nzuri sana. Hakika nitaweka kambi hapa. Ila nilichogundua baada ya kusoma threads nyingi za wakulima tofauti tofauti ni kuwa mtu hasemi kilichomfelisha shambani, anakimbilia kukukatisha tamaa tu kuwa zao fulani ni gumu sana . Ninachoomba wadau tuseme ni chanagamoto gani ulikutana nazo mpaka ukafeli shambani? Kwasababu kwa mfano watu wengi wanasema kitunguu ni kigumu sana kulima. Ugumu wake uko wapi? Changamoto zake zipoje? Tusaidiane wadau tuondokane na hili dimbwi la umasikini kupitia kilimo na inawezakana kabisa.
Namtumbo Kuna tembo hata mashamba ya mpunga wanayafanya hakunaNakuja huko May maana ndio mwenyeji wetu atakuwepo. Ila nasikia Tembo huko wakekuwa balaa
Dawa ya Tembo ni mizinga ya nyuki tuNamtumbo Kuna tembo hata mashamba ya mpunga wanayafanya hakuna
Dawa ya Tembo ni kulinda tuu maana ukiweka mizinga ya nyuki inaweza isiwe suluhisho maana Tembo anaweza kuja usiku kula mazao pia nyuki usiku anakuwa sio active kama mchanaDawa ya Tembo ni mizinga ya nyuki tu
Ni kweli kabisa mkuu, tumekuwa tunalima kwa mazoea sana. Yaani kila mmoja mahindi au mbaazi. Mimi kuanzia msimu ujao nitaanza kufocus na kilimo cha high valuable crops kama maharage, vitunguu na nyanya. Najua yana changamoto nyingi sana lakini nitapambanazo.Uko sawa ndg, na kingne epuka kulima zao linalolimwa na kila mtu sababu kinakuwa halina thamn mfn mahind hata kijana mdogo analima njoo kwenye mauzo ad unakata tamaa.
Hii nayo point. Ishhu nayo kulinda ni utataDawa ya Tembo ni kulinda tuu maana ukiweka mizinga ya nyuki inaweza isiwe suluhisho maana Tembo anaweza kuja usiku kula mazao pia nyuki usiku anakuwa sio active kama mchana