"Kilimo cha Nyoka" toka kwa motivational speakers

Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndo suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.

Fikiria uwe na cobra kumi , cobra mmoja anataga mayai sitini, kwa mwezi anatotoa. sitini mara kumi ni 600,* 600*12= *7200* kwa hiyo kwa mwaka unakua na *cobra 7200* na cobra mmoja anatoa *gram 10 za sumu* kwa siku sasa inakua ni 7200*10= *72000* sasa gramu 72000*1880= *135,360,000* hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua 135,360,000*10= *1,353,600,000* maanake kwa mwaka mmoja kwa cobra tuu acha *black mamba,* *kifutu *nk** unakua na *bilioni 1.4*

Sasa hapo toa garama ya *panya* wa kuliwa na cobra plus usafi hivii ambayo ni ka milioni mia ivi maana Panya nao unafuga tu apo unawalisha *pumba* na wayawaya ivi basii sasa mwaka mmoja faida yako ni *bilioni moja* na kitu kwa mtaji wa *cobra kumi* tuu

Motivational speakers watatuua, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hiyo sumu soko wapi? Huyo ni Shigongo nini kwanini asifuge yeye?
 
Sioni tofauti na biashara haramu ya madawa ya kulevya.
 
Kuna ndugu yangu alidanganywa na matikiti. Mtiti alioupata kwenye gharama za usafiri kwenda shamba, usumbufu wa wafanyakazi , tikiti kuja kukomaa ukubwa ukawa kama NAZI hana hamu, Tikiti kama nazi utauza shs 100/= au 50/=? ndio uje kupata hayo mamilioni?.
 
Achana na Matikiti sijui Kuku, sijui Vitunguu sijui Mayai ya kwale hili sasa ndo suluhisho, kilimo cha Nyoka ni suluhisho.

Fikiria uwe na cobra kumi , cobra mmoja anataga mayai sitini, kwa mwezi anatotoa. sitini mara kumi ni 600,* 600*12= *7200* kwa hiyo kwa mwaka unakua na *cobra 7200* na cobra mmoja anatoa *gram 10 za sumu* kwa siku sasa inakua ni 7200*10= *72000* sasa gramu 72000*1880= *135,360,000* hii chukua zidisha mara miezi kumi tuu (ili hesabu iwe rahisi) itakua 135,360,000*10= *1,353,600,000* maanake kwa mwaka mmoja kwa cobra tuu acha *black mamba,* *kifutu *nk** unakua na *bilioni 1.4*

Sasa hapo toa garama ya *panya* wa kuliwa na cobra plus usafi hivii ambayo ni ka milioni mia ivi maana Panya nao unafuga tu apo unawalisha *pumba* na wayawaya ivi basii sasa mwaka mmoja faida yako ni *bilioni moja* na kitu kwa mtaji wa *cobra kumi* tuu

Motivational speakers watatuua, [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Shughuli yake ni kwenye kuwafuga na kuvuna sumu yao, ni kazi ya ajabu nafuu kufuga tembo.
 
Back
Top Bottom