"Kilimo cha Nyoka" toka kwa motivational speakers

"Kilimo cha Nyoka" toka kwa motivational speakers

Hata hivyo uchaguzi huu tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1542][emoji1542][emoji1542]anothor motivational speaker.
Hiyo sumu inauzwa wap na kwa kazi gani, na kwa bei gani.
Fursa hiyo sitaki kuipoteza.
 
Mshana umetuacha hoi leo,hao na maafisa biashara wa kibongo baba mmoja (fanya hivi na vile utatoboa)Yeye hata genge hana
 
Chifu mpaka sasa nina cobra 200 biashara inalipa sana mkuu,na mwezi hujao nimealikwa huko Thailand kushiriki jinsi ya kuandaa hawa viumbe
 
Hapo hujapigia wale wezi wa nyoka watakavyo ondoka na nyoka kadhaa!! Mshana Jr. katika ubora wake
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Mwengine anasema eti hata Mzee Laizer Saniniu kabla ya kufanikiwa alianza kuchimba madini kwa kijiko mdogo mdogo.
 
Mwengine anasema eti hata Mzee Laizer Saniniu kabla ya kufanikiwa alianza kuchimba madini kwa kijiko mdogo mdogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana sana.

Nimegalagala chini kwenye sakafu kwa kicheko huku nikitoa sauti kubwa sana.

Dunia ina vichekesho kama ya chama changu cha mapinduzi ,Kuna wakati mambo yanabana mpaka tunakuwa motivational speakers kujaribu kujibu hoja ambazo tunajua tumekosea.

All in all, Hii ya kufuga Cobra hawaelezei siku uking'atwa bei ya kujitibu ni kiasi gani?

Wengi ya hawa motivotional speakers ni choka mbaya ,wanatafuta suti mbili kwa ajili ya kufanyia semina wao hawana hata mradi wa kufuga sisimizi tu.

Hata hivyo uchaguzi huu tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
Achana na motivation speaker, kuna wale wanatembeza vitabu ya kuwa milionea halafu kutwa nzima wanatembea juani
Huwa nacheka sana
 
😂😂😂😂😂😂 . gharama za madawa sijaziona hapo. au nyoka hawa ugui kama kuku?
 
Back
Top Bottom