Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,110
- 1,475
Ukakasi upo hapo kwenye kuyaning'iniza hewani kama viota vya ndege. Hayawezi kudondoka kweli? Na je, hiyo tu ndo nnia ya kuyafanya yawe na ukubwa wa zaidi ya haya?
Ukakasi upo hapo kwenye kuyaning'iniza hewani kama viota vya ndege. Hayawezi kudondoka kweli? Na je, hiyo tu ndo nnia ya kuyafanya yawe na ukubwa wa zaidi ya haya?
Ushasikia mtu ametajirika kwa ukulima?
Aisee hongera sana mi safari hii sijalima huwa nalimaga heka 15 mwasonga kigamboniMm shamba langu ndo yapo hatua hiyo baada ya siku 43 toka niyapande.. Nina ekari moja.. Nazani nitapata mavuno mazuri.
Ila sasa hivi madawa yamepanda na soko bado ni changamoto, kila mwaka nalimaga 15 acres ila kilichonikuta mwaka jana nimeona mwaka huu nipumzike kidogo, lakini ni kilimo kizuriAsante kwa uzi mrefu na wenye kila taarifa muhimu sana juu ya zao hili la Tikiti-Maji. Sasa tuingie shambani maana msimu ndio huu...
Mimi nipo Kahama mkuuAisee hongera sana mi safari hii sijalima huwa nalimaga heka 15 mwasonga kigamboni
Mm shamba langu ndo yapo hatua hiyo baada ya siku 43 toka niyapande.. Nina ekari moja.. Nazani nitapata mavuno mazuri.
Njoo pm mkuu nikupe hadi picha zangu nikiwa shambani uaminiInternet Farm ....
Hongera sana mkuu .... ni vizuri kuweka picha za shamba lako kuliko hizi za gooooogle.comNjoo pm mkuu nikupe hadi picha zangu nikiwa shambani uamini
Ww una akili kweli?Ushasikia mtu ametajirika kwa ukulima?
Waooh.....napenda sana hiki kilimo ngoja na mimi nikapande shambani kwanguMm shamba langu ndo yapo hatua hiyo baada ya siku 43 toka niyapande.. Nina ekari moja.. Nazani nitapata mavuno mazuri.
Naomba nijuze namna ya kupata hicho kijitabuMkuu Nina kitabu cha Kilimo cha matikiti maji PM me for details
Nimelima Matikiti nasubiria baada ya mwezi nivune natafuta masoko?? nipo Dar nimelima Mkuranga