Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,407
Likes
6,786
Points
280
Age
27

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,407 6,786 280
Nimelima Matikiti nasubiria baada ya mwezi nivune natafuta masoko?? nipo Dar nimelima Mkuranga
Mkuu mkuranga sehemu gani umelima,

Juzi nimesikia MO na Bakheresa wananunua matikiti ila sina uhakika hebu fuatilia kama ni kweli halafu uje utujuze na sisi hapa.
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,407
Likes
6,786
Points
280
Age
27

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,407 6,786 280
Wadau habar, nina tikitimaji ambazo zitakuwa tayar kuvumnwa kuanzia jumamosi tarehe 29/07/2017 naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo moshi, na upo saf ni wastani ws kg 7 kwa tikiti moja .mawasiliano 0653250888 karbuni sana .
Mkuu kama unaweza tafuta soko kenya yatakulipa vizuri sana mimi mzigo wangu niliuza kwa jamaa mmoja wa kenya alikuwa anaexport
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,407
Likes
6,786
Points
280
Age
27

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,407 6,786 280
Mkuu ngoja nianze mchakato wa mnunuzi kutoka kenya kama ulivyoshauri ila kunisaidia, hebu ongea na huyo uliefanya nae biashara unijuze mkuu
Bahati mbaya namba yake sina mkuu juzi nimempa mtu simu aka-format kila kitu accidentally. Ila nitajaribu kukutafutia tuone
 
Joined
Jul 15, 2017
Messages
16
Likes
7
Points
5

Tumain1976

Member
Joined Jul 15, 2017
16 7 5
Mkuu vipi ulipata mnunuzi kutoka Kenya? Au uliuza kwa aliyetaka kununua kwa Kilo? Ninakaribia kutoa tikiti, naomba uzoefu wako kwenye soko..
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
 
ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
611
Likes
134
Points
60

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
611 134 60
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Nafikiri ni sababu hamna juice za tikiti za viwandani kwahio ndio mana inabidi kupambana tu na madalali wa sokoni. Serikali inaweza ti mkono wake au pia wakulima kuunda taasisi au chama cha walima tikiti ili waweze kupaza sauti zao. Tikiti ni zao la gharama sana lakini usipoangalia unaweza usipate return kwa gharama hio. Sasa tikiti la kilo 5 kuuza sh2000 nafikiri sio sawa

Asha
 
Jawai

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
429
Likes
191
Points
60
Age
34

Jawai

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
429 191 60
Mkuu niliuza kwa madalali kwa kilo sh 400/, na mchumo wa kwanza nimepata tani10 fresh na reject tani8 ambazo tulielewana kwa furushi au jumla. Ila kimsingi ,soko la uhakika bado ni changamoto ,maana ubabaishaji wa madalali bado ni mwingi sana .Nafikir tunahitaji kuunganisha nguvu ili tuweze kumudu mahitaji ya mnunuzi kama bhakressa kama alivoshauri mdau mmoja humu
Ukilinganisha na gharama ya kulima, kwa bei liyouza umepata faida?
 
Forum statistics

Threads 1,203,720
Members 456,939
Posts 28,126,351