Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
317
Likes
27
Points
45

wingman7

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
317 27 45
Wadau habar, nina tikit-imaji ambazo zitakuwa tayar (1 acre) kuvunwa kwanzia wiki ya pili ya mwezi wa 10,naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo Vikindu. Mawasiliano 0714-087253 & 0784-429215 Karibuni Sana.
 
Joined
Jan 27, 2017
Messages
27
Likes
3
Points
5
Joined Jan 27, 2017
27 3 5
habari zenu wakuu naitaji msaada wa kulima matikiti nijue mbegu bora soko lake na changamoto zake na jinsi ya kukabiliano nayo ardhi inayofaa kulima MATIKITI MAJI cuz nmesikia ukilima vizur pesa yake sio ya nchi hii nina SHAMBA EKA MBILI LIPO ENEO LA MVUTI ILA LINA MTELEMKO je linafaa kulima matikiti nipeni maujuzi
 
kuungutana

Senior Member
Joined
May 9, 2012
Messages
105
Likes
16
Points
35

kuungutana

Senior Member
Joined May 9, 2012
105 16 35
Matikiti ni matunda, japo tunasema ni mboga kutokana na njia zinazotumika kuyazalsha kwan siyo tofaut na mboga.

Matunda yanaanza kukomaa kuanzia siku 80-120 kufuatana na aina, kama sugarbaby inakomaa mapema. Na il kupata matunda makubwa na yenye ubora, tunashaur kwa mti mmoja usiwe na matunda zaidi ya matano ambayo interval ya kuvuna ni siku hadi 10 kwani uvunaj ni had miezi miwil kwa mti mmoja. Hector 1=8-12 tan za matunda.

Kwa maswali zaidi kuhusu kilimo cha mazao tuwasiliane.
Mkuu nijuze soko la matikiti ninakaribia kuvuna, kama wiki mbilizijazo hivi
 
Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
6,929
Likes
6,675
Points
280

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
6,929 6,675 280
Mkuu nijuze soko la matikiti ninakaribia kuvuna, kama wiki mbilizijazo hivi
Mimi nimelima mwasonga dsm, nimefanya survey sana ya wakulima wa kule, wote ninaona wanawatumia madalali huja shambani kutasmini na kuestimate thamani ya production yako,

Wengi wa hawa jamaa wanalalamikiwa kuwa ni walanguzi sana,

Mwisho wa siku wakulima wanategemea hawa hawa wakisema kwamba kuliko kwenda sokoni kabisa ( buguruni/stirio/kkoo) ni bora kuwauzia hao hao madalali kwani haina tofauti sana kupeleka mwenyewe na kuwauzia jamaa,

Soko sio zuri sana kiukweli ila mzigo lazima utapata mnunuzi, nakushauri ungefanya kusurvey wenyeji wa huko ulipolima kwanza wao wana uza uzaje
 
Avatar mok

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Messages
6,929
Likes
6,675
Points
280

Avatar mok

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2012
6,929 6,675 280
habari zenu wakuu naitaji msaada wa kulima matikiti nijue mbegu bora soko lake na changamoto zake na jinsi ya kukabiliano nayo ardhi inayofaa kulima MATIKITI MAJI cuz nmesikia ukilima vizur pesa yake sio ya nchi hii nina SHAMBA EKA MBILI LIPO ENEO LA MVUTI ILA LINA MTELEMKO je linafaa kulima matikiti nipeni maujuzi
Kuna historia ya kilimo cha matikiti huko??
 
kuungutana

Senior Member
Joined
May 9, 2012
Messages
105
Likes
16
Points
35

kuungutana

Senior Member
Joined May 9, 2012
105 16 35
Mimi nimelima mwasonga dsm, nimefanya survey sana ya wakulima wa kule, wote ninaona wanawatumia madalali huja shambani kutasmini na kuestimate thamani ya production yako,

Wengi wa hawa jamaa wanalalamikiwa kuwa ni walanguzi sana,

Mwisho wa siku wakulima wanategemea hawa hawa wakisema kwamba kuliko kwenda sokoni kabisa ( buguruni/stirio/kkoo) ni bora kuwauzia hao hao madalali kwani haina tofauti sana kupeleka mwenyewe na kuwauzia jamaa,

Soko sio zuri sana kiukweli ila mzigo lazima utapata mnunuzi, nakushauri ungefanya kusurvey wenyeji wa huko ulipolima kwanza wao wana uza uzaje
Nakushukuru sana mkuu. Juzi nilikua huko Dar nime-survey masoko, natarajia kuleta mzigo kama fuso moja mvua ikileta ahueni kidogo.
 
Joined
Feb 1, 2017
Messages
175
Likes
97
Points
45
Age
24

a man of wisdom

Senior Member
Joined Feb 1, 2017
175 97 45
Salaam wakuu ,kama kichwa cha thread kinavyosema niende moja kwa moja kwenye maada.

Nimesikia kwa watu kuwa kilimo cha matunda aina ya matikitik maji kinalipa sana na mpk nikavutiwa kujua zaidi juu ya kilimo hiki hususan katika jiji la Dar es salaam
Ningependa kujua juu ya mtaji wake katika kuanzia kama kiasi gani?

Mazuri kwa kilimo hiki kwa hapa Dar changamoto zake za uendeshaji mpaka Ruvuna faida yake na mavuno ni ndan ya muda gani makadilio ya hasara yanayoweza kutokea kwa sababu ya hali ya hewa au vyovyote vile na mwisho kabisa kilimo hiki kinategemea zaid hali ipi ya hewa karibuni wakuu tusaidiane kutengeneza nchi ya viwanda

Asanten by A man of wisdom
 
Joined
Nov 1, 2017
Messages
79
Likes
28
Points
25

Shaban Rajab

Member
Joined Nov 1, 2017
79 28 25
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Malawi) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 
Joined
Apr 25, 2016
Messages
73
Likes
37
Points
25
Joined Apr 25, 2016
73 37 25

Bila Shaka huyu amepotea Njia.
 
Joined
Apr 25, 2016
Messages
73
Likes
37
Points
25
Joined Apr 25, 2016
73 37 25
Habari wanajamvi, Ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Baada ya kupata hamasa katika uzi huu na mimi nikaona ni vyema niingie katika kilimo hiki cha Tikiti maji. Nimepanda mbegu za tikiti maji aina ya Pundamilia (Zebra) na kwa bahati nzuri zote zimefanikiwa kuota. Lakini kuna kitu nimegundua katika mimea michanga ambacho si cha kawaida majani yanayotoka yanakuwa yanakakamaa na yanatoka na rangi ya njano, Sijajua tatizo nini, naomba watalaamu wanisaidie kwa hili. Nimeambatanisha na picha kadhaa. Natanguliza shukrani.
img_20180114_160239-jpg.676408
img_20180114_160029-jpg.676409
 
Forum statistics

Threads 1,203,562
Members 456,824
Posts 28,118,745