Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,559
- 74,374
Anasota Mbombo Kwa Ujinga Wa Utaperi 😂😆😁😅Unemsahau manguruwe😂
Anasota Mbombo Kwa Ujinga Wa Utaperi 😂😆😁😅Unemsahau manguruwe😂
Japo ni kweli ila sio rahisiMaparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani
Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.