Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Thanks mkuu, ngoja niyanote kabisa haya majina ya vijiji na vikundi kwa ajili ya urahisi wa kuvitafuta. Asante sana.Mkuu salama<
Mkuranga ipo miche bora mingi sana. Nenda Mkuranga agriculture Research Sub station ipo about 4 kilometer kutoka Mkuranga main stand.
Ukikosa hapo mkuranga kata ya Tambani kijiji cha Kibamba kuna Bustani kubwa ya miche ya embe na Machungwa utapata
ukikosa hapo Nenda Kibiti kuna kikundi cha wakulima bora (QDS certified) wanaitwa Rufiji Environmental group (REG) wana miche zaidi ya 30,000 na wanavarieties zaidi ya 10.