Embe majiNdugu zangu nauliza je ni aina gani za maembe zinazaa sana na ni nzuri kwa hii biashara ya kilimo cha maembe?
Masare unauhakika kweli maana nataka nianze hii biashara anayejua zaidi anijuzeEmbe maji
Wakuu Salaam. Naomba kujua bei ya ekari moja huko Kibiti kwa mlio na taarifa sahihiNi aina gani ya embe unaweza kuvuna kipindi ambacho sio cha msimu?