Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Nasubiri picha ya ISM hapa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kukuta mtoto kutoka Muleba anasoma hizi shule kwasababu kagera ni mkoa masikini.

Ukiona ngozi nyeusi ni kina shirima, urio , marealle, mawalla, kinabo, mengi, Massawe na kina sanga, makinda, mlelwa, kihanga.

Hamna mkaterero hapa.[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ds3ATNCX4AM5IIN.jpeg
D7jjikxWsAAv8HA.jpeg
Dsx4dy6XgAAjqpJ.jpeg
international-school-of-moshi-arusha-campus-tanzania-KF5JG5.jpeg
DyiuM7SXgAAPikC.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo wale watu Magu aliokuwa anasema .

You know you know [emoji1787][emoji1787] huku kabana pua yaan hata uingereza hajafika[emoji23][emoji23].

Sasa kujua kingereza ni sifa siku hiz.

Bora hata mngesema kilatini walau . Maana itawasaidia katika biology na science.

Kweli nyie ni washamba kabisa yaan mnanisifia kujua kingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ndo maana walatini wanasema Nemo dat quod non habet.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kilatin hujakiona kwenye hizo jargons?

Mutatis Mutandis? Ndio maana nimesema huwezi kuelewa, wewe ni mkaterero.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au unataka nikupandishie na legal verbatim?

Actus non-facit reum nisi mens siti rea? Najua hajaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23]

Fiat justitia ruat caelum? [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Alright, Roma locuta causa infinita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katerero hata vyoo hawana watapata wap uwezo wa kusomesha mishule kama hiyo

Hawa zaman walipenda sana elimu ila tangu wakimbilie kwenye ujasiriamali wa miili wanazid kupoteana kila siku

Ha ha haaaaaaa
Huwezi kukuta mtoto kutoka Muleba anasoma hizi shule kwasababu kagera ni mkoa masikini.

Ukiona ngozi nyeusi ni kina shirima, urio , marealle, mawalla, kinabo, mengi, Massawe na kina sanga, makinda, mlelwa, kihanga.

Hamna mkaterero hapa.[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1321334View attachment 1321335View attachment 1321336View attachment 1321337View attachment 1321338

Hii shule ndo mazingira yake unalinganisha na kemebos pamoja na kaizirege.

Shule kama ya kata?naona ni nursery school tu

Hebu kamgoogle shule hiz hapa. Ihungo, Kaizirege st achileus kijwile, Adolph kolping ,kibeta ,hekima girls,peace, nk nk ulinganishe mazingira [emoji23][emoji23]

Eti zaman walipenda elimu.

Shule za kata kabisa wanafaulisha asilimia Mia !!!

Vip top ten shule za kagera ndo zimejaa.

Bado wahaya top wapo kibao.

UDSM huko ndo chuo Kipo kama bukoba kabisa.
tapatalk_1578752394535.jpeg
images%20(6).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kilatin hujakiona kwenye hizo jargons?

Mutatis Mutandis? Ndio maana nimesema huwezi kuelewa, wewe ni mkaterero.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au unataka nikupandishie na legal verbatim?

Actus non-facit reum nisi mens siti rea? Najua hajaelewa.[emoji23][emoji23][emoji23]

Fiat justitia ruat caelum? [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Alright, Roma locuta causa infinita.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] naomba utengeneze sentence za kingereza kutokana na hayo maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kukuta mtoto kutoka Muleba anasoma hizi shule kwasababu kagera ni mkoa masikini.

Ukiona ngozi nyeusi ni kina shirima, urio , marealle, mawalla, kinabo, mengi, Massawe na kina sanga, makinda, mlelwa, kihanga.

Hamna mkaterero hapa.[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1321334View attachment 1321335View attachment 1321336View attachment 1321337View attachment 1321338

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu leta chuo kikuu ( mnavyoita) kinachoweza fikia hii shule Kwa majengo.

Huku bukoba hatubaatishi.

Sasa subiri stendi imalizwe.

Ndo maana airport, kaitaba,bandari viko smart ,hata Cathedral ya bukoba pia maana tunatulia na kutoa product nzr.

Sasa subiri stendi imalizwe kule kyakairabwa mtapotea nyote.

ANYWAY KUNA CHUO KIKUU KINAJENGWA HUKO KAHORORO SUBIRI KIISHE
images%20(8).jpeg
IMG_6777.JPG
IMG_6778.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kukuta mtoto kutoka Muleba anasoma hizi shule kwasababu kagera ni mkoa masikini.

Ukiona ngozi nyeusi ni kina shirima, urio , marealle, mawalla, kinabo, mengi, Massawe na kina sanga, makinda, mlelwa, kihanga.

Hamna mkaterero hapa.[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1321334View attachment 1321335View attachment 1321336View attachment 1321337View attachment 1321338

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kichekechea ndo unalinganisha na hii shule?
70271050-82d3-4bed-a7de-7b0562e85629.jpeg
images%20(14).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(13).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongereni Wana Kilimanjaro maana mkoa kuwa. Na shule nyingi kuliko mikoa yote na bado inakuwa mkoa wa kwanza so kazi ndogo.

Pili shule hizo zinasomesha wenyeji na wageni kutoka karibu mikoa yote na bado ufaulu upo juu. Hongereni

Hongereni walimu wa mkoa huo maana mnafundisha wanafunzi waliochanganyika kiimani, Mila na desturi mbali mbali na bado mnaweza kuwafunidha wakafundishika, mnastahili shahada ya uvumilivu na moyo wa kujitoa.
 
Hii shule ndo mazingira yake unalinganisha na kemebos pamoja na kaizirege.

Shule kama ya kata?naona ni nursery school tu

Hebu kamgoogle shule hiz hapa. Ihungo, Kaizirege st achileus kijwile, Adolph kolping ,kibeta ,hekima girls,peace, nk nk ulinganishe mazingira [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona sehemu wanasoma watoto wa balozi, mawaziri na UN personnel ogopa sana hiyo shule.

Tuletee picha za hizo shule za mfumo wa Necta kwasababu sisi Level yetu moshi ni Cambridge system hatutumii Necta ya Ndalichako, waziri hajui kutunga sentences coherent za kiingereza, kwanini mwanangu akasome Necta curriculum?

No way, ISM ni mahala mwanao anaenda kusoma chuo Massachusetts, Harvard, Standard, Yale, Oxford. Sio upupu wa Kaizirege sijui Katerero schools. [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, Kilimanjaro your Good ,lkn mnapenda sana matangazo,mbona mwaka jana T.O katoka mbeya hatukuona wanyakyusa wakijitamba kwa style kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyakyusa mkae kimya kabisa.

Bado hamjampongeza Rais kwa kupatwa kwa jua? [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]

Watapeli wa makanisa ya uongo uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mtu wa jirani,maoni yangu ya jukwaa la Kenya yasikuchanganye,am pure kinga,lazima nipende kabila langu na tunakuja vizuri licha ya environmental hardships za milimani kule
Mara nyingi napenda ku concur na Kenyans coz wako hanesty kwenye maoni yao lakini mbongo hawezi kubali ukweli hata kama uko wazi typical tabia za kinafiki
Hii mpya brother. Unajua kuna kuunga watu mkono na kuwa nao against your own people. First time nimekuona positive na Tz ni ule uzi wa njombe vs kahama ila nyingine zote huwa unasambaza hatred sana..

Bottom line its your life mkuu. Sina mandate nalo, i respect that
 
Unajua maana ya legal verbatim?[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]

Walioelewa wanakucheka sana kwa sauti kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona sehemu wanasoma watoto wa balozi, mawaziri na UN personnel ogopa sana hiyo shule.

Tuletee picha za hizo shule za mfumo wa Necta kwasababu sisi Level yetu moshi ni Cambridge system hatutumii Necta ya Ndalichako, waziri hajui kutunga sentences coherent za kiingereza, kwanini mwanangu akasome Necta curriculum?

No way, ISM ni mahala mwanao anaenda kusoma chuo Massachusetts, Harvard, Standard, Yale, Oxford. Sio upupu wa Kaizirege sijui Katerero schools. [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan hiyo nursery school?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISM sio Necta based school.

Ni Cambridge system. Ina Grades, huku kwenu ndio mnaziita madarasa.

Usifananishe Necta na Cambridge.

Naona umepigwa za uso hadi maji unaita mmaaah! [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea mazingira.

Hiyo shule yako hainatofauti na shule yangu kibamba[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu leta chuo kikuu ( mnavyoita) kinachoweza fikia hii shule Kwa majengo.

Huku bukoba hatubaatishi.

Sasa subiri stendi imalizwe.

Ndo maana airport, kaitaba,bandari viko smart ,hata Cathedral ya bukoba pia maana tunatulia na kutoa product nzr.

Sasa subiri stendi imalizwe kule kyakairabwa mtapotea nyote.

ANYWAY KUNA CHUO KIKUU KINAJENGWA HUKO KAHORORO SUBIRI KIISHE View attachment 1321369View attachment 1321370View attachment 1321372

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa huu uchafu. Hiki ni chuo au banda la mbwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ebu angalia baadhi ya vyuo moshi, afu ufiche aibu yako.

Hii ni KCMC university.

Computer lab, wanatumia Apple computers sio nyie mkoa masikini mtakuwa mnatumia senene kutype.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Nitajie chuo Tanzania wanachotumia Apple computers ukiacha KCMC?

Achana na Wachagga sisi ni level za kimataifa.

Kagera mkoa unatia aibu hauna chuo? [emoji23][emoji1787]
images.jpeg
images%20(1).jpeg
images%20(2).jpeg
e-learning-2-700x300.jpeg
IMG_9181_0.JPG
computer-lab-700x300.jpeg
Kilimanjaro-Christian-Medical-University-College.jpeg
DSCF5743.JPG
DSCF5364.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom