Kilimanjaro Stars 1 - 0 Malawi (CECAFA 2011)

Tupashane kinachoendeleea zidi ya Tanganyika aka Tanzania Bara zidi ya Malawi, je tutachomoka.....


Mungu ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Tanzania uwalaaaaaaaaaaaaaaaani wale wote wanaoizomea tanganyika...........

Stars wameona mwezi Nurdin kapiga moja
 
Nimechaka sana kuna jamaa wameshika bango kubwa limeandikwa `wazee wa best looser leo tunawazomea`

Huu ni ujinga mkuu ! Haufai kuendekezwa bali kukaripiwa na hatua zichukuliwe ! Tusilee ujinga jamani !
 
leo kiasi fulani tunajituma lakini bado jamaa wanaonyesha nia ya kupata goli..
 
Hussen javu kakosa goli baada ya kujiangusha akifikili refa atampa penalti. yeye baada ya kupiga shuti kajiangusha.
Beki yupo JUMA JABU JUMA NYOSO, ERASTO NYONI NA RAMADHAN CHONDO wote wanacheza kwa kuelewana. Mia
 
Wakuu, nasikia gari la Tenga Chila lilionekana jana usiku kwenye hotel waliyofikia Malawi, kuna usalama kweli ha ha ha ha ha ha
 
half time sasa. wanaenda mapumziko.
KILIMANJARO 1 - 0 MALAWI.
mia
 
Huyu Ramadhani Chidondo ndie yule mwenye rasta kama niye yeye huyu jamaa nimzito kama amefungwa tofali miguuni ila kwa mipira ya juu utamtaka!
 
Back
Top Bottom